Bomandamo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 650
- 380
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana kapata dv two ya 18. Amechaguliwa kwenda advance akasome HGl.
Sitaki aende ukizingatia ajira huko mbele ni ngumu, kuna uwezekano wowote wa kuweza kupata chuo cha serikali akasome C/O maana vyuo vya private ada yake ghali sana. Sitamudu.
Kwa yeyote mwenye ushauri naomba.