Naomba ushauri wa Vyuo vya Afya vya Serikali

Bomandamo

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
650
378
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana kapata dv two ya 18. Amechaguliwa kwenda advance akasome HGl.

Sitaki aende ukizingatia ajira huko mbele ni ngumu, kuna uwezekano wowote wa kuweza kupata chuo cha serikali akasome C/O maana vyuo vya private ada yake ghali sana. Sitamudu.

Kwa yeyote mwenye ushauri naomba.
 
Hakuna shortcut unless uwe una undugu na kigogo huko serikalini, cha msingi aombe kama ana vigezo atapata nafasi.
 
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana kapata dv two ya 18. Amechaguliwa kwenda advance akasome HGl.

Sitaki aende ukizingatia ajira huko mbele ni ngumu, kuna uwezekano wowote wa kuweza kupata chuo cha serikali akasome C/O maana vyuo vya private ada yake ghali sana. Sitamudu.

Kwa yeyote mwenye ushauri naomba.
Asome mojawapo wa hizi kozi

1.Diploma in medical lab

2.Diploma in radiology

3.Diploma in dental surgery

4.Diploma in physiotherapy

5.Diploma in Optometry

6.Diploma in Clinical medicine

7.Diploma in Nursing & Midwife

8.Diploma in pharmaceutical science

9.Diploma in environmental Health

10.Diploma in food science and Human Nutrition
 
Ukijua unachokifanya ni raha sana kuna muda cpati jibu napofikilia hii elimu ya form 5&6 serikali waliianzisha kwa madhumuni yapi ama ina umuhimu gani sipati jibu ila namshauri aende college za afya na akibahatika akaimaliza kozi ya pharmacy ipo cku atakuja kunishukuru hapa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom