kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Ninataka kufanya ufugaji wa ng'ombe wenye tija ila niko njia panda kuhusu wapi kuna faida zaidi kati ya kufuga ng'ombe dume au majike.
Nilihitaji kuanza na ndama watatu ambao sio wale wa kienyeji kabisa bali chotara kiasi.
Hapa nipo njia panda nichukue ndama jike ili baadae niuze na maziwa au nichukue ndama dume ambao nitawalisha tu baadae niwauze?
Nawasilisha.