valentino nakua
Member
- Nov 18, 2018
- 26
- 5
Habari zenu wataalam mbalimbali wa kundi hili la Jf.
Ninaomba msaada wa kushauriwa. Nina mtoto wa miezi 5. Tokea azaliwe hajawah kula chochote zaidi ya maziwa ya mama, na lengo langu hadi atimize miezi 6 kama inavyoshauriwa. Hadi sasa nimeshindwa kusubiri mwezi wa sita kwa kuwa maziwa ya mama hayamtoshi kwa sasa na lengo langu nimwanzishie chakula cha ziada. Najua humu ndani wapo wataalam wa lishe kwa watoto(binadamu. nilipanga kununua chakula cha watoto kiitwacho “cerelac”(serelaki) sielewi kama nimepatia kuandika. Je nauliza nikiendelea na kusudio la kununua hicho chakula kitamsaidia mtoto, au kuna lishe nyingine bora zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app