Naomba ushauri wa kuchagua mchepuo sahihi

PANAFRICA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
335
496
Nina kijana amebalance vizuri kwenye matokeo yake ya kidato cha nne masomo ya sayansi.
yeye anataka kufanya PCM ila mimi nilikuwa namshauri afanyePCB ana B+ ya Maths,physics,chemistry, biology.na masomo mengine ana B.
wanajanvi naomba msaada wenu katika hili.
 
Mwache asome anacho kipenda maana kuna kitu analenga,pengne yeye analenga engeneerng ww unataka afanye udactari hawezi ataharibu form six af utamlaum.
 
Raha ya PCM rahisi sana kufaulu (Div. 1) na rahisi sana kufeli (Div. 0).

PCB kazi sana kufaulu (Div. 1) na kazi sana kufeli (Div. 0)

Mwache asome anachopenda, msapoti kadri uwezavyo.

Dzudzuku.
 
Nina kijana amebalance vizuri kwenye matokeo yake ya kidato cha nne masomo ya sayansi.
yeye anataka kufanya PCM ila mimi nilikuwa namshauri afanyePCB ana B+ ya Maths,physics,chemistry, biology.na masomo mengine ana B.
wanajanvi naomba msaada wenu katika hili.

Michepuko sio dili, baki njia kuu.
 
Back
Top Bottom