Naomba ushauri wa kitaalamu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri wa kitaalamu.

Discussion in 'JF Doctor' started by Benaire, Apr 4, 2012.

 1. B

  Benaire JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu sehemu ya kushoto kifuani na ubavuni...nimekwenda hospitalini mara kadhaa,nimepigwa x-ray kama mara tatu tatizo halijaonekana..badala yake nimekuwa nikipewa dawa ambazo sioni mchango wake kwa sababu hali inaendelea...sasa tumbo nalo limekuwa likinisumbua na appetite imekuwa shida kidogo....nimekunywa trinidazole,metrozole na ciproflaxin wala hazijanisaidia pia...nimepima mpaka HIV,majibu bado sijaathirika.
  Je linaweza kuwa ni tatizo gani na nini naweza kufanya?
   
 2. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kuna mawili hapa, au vidonda vya tumbo au ugonjwa wa moyo?! kwani una umri gani?
   
 3. B

  Benaire JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Still nina miaka 26....ugonjwa wa moyo?
  But what can i do at the moment...tafadhali naomba ushauri hapa!
   
 4. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ugonjwa wa moyo hauchagui umri. nenda hospital upimwe. kafanyiwe stress test, ECG, Echocardiography, chunguzwa tumbo nk.!!
   
 5. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usichoke kwenda hospital pia naomba kujua uko kwenye miji ya pande zipi
   
 6. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,473
  Likes Received: 5,941
  Trophy Points: 280
  umesema bado hujaathirika? anyway pengine matatizo yapo kwa ndani na maumivu yanaradiate kwenye mbavu zako yaani panapo uma sio penye tatizo, nenda kwenye vipimo vya moyo
   
 7. B

  Benaire JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nipo dar es salaam....pande za ubungo.....Nashukuru kwa ushauri wenu.
  But hospitali gani naweza kupata vipimo bora kwa hapa dar?
   
 8. B

  Benaire JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yeah...nilipima nikaambiwa nirudie tena baada ya miezi mitatu...nikarudia wakanambia niko safe...wakanipa na ushauri tu wa maisha ya kujilinda zaidi.
   
 9. B

  Benaire JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Thanx...nitafanyia kazi ushauri huu!
   
 10. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,473
  Likes Received: 5,941
  Trophy Points: 280
  ulivyosema bado hujaathirika nilishangaa kwamba huko mbele unategemea kuja kuathirika! good luck mkuu
   
 11. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jaribu aga khan
   
Loading...