BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Ushauri mzuri huu kulingana na kunipa urahisi wa kushare itakua poa sanaa ila IPhone nasikia zina limitation sana kwenye apps zisizo OfficialKama tu kwaajili ya kupost nyumba etc ungeinvest kwenye simu nzuri.
iPhone 13 Pro Max kwenda mbele na Galaxy S22 Ultra kwenda mbele na simu zingine kubwa zimefikia mahala unapiga picha nzuri (sio level za DSLR ila unaweza usitofautishe).
Kwa kazi yako, advantage ya smartphone itakua urahisi wa kushare picha, rahisi kubebeka na kuzimanage.
Ngoja wengine waje watoe ushauri lakini kwa hitaji lako.
Pamoja bro. Kusema kweli issue ya camera mimi napenda sana kupiga picha. Nikanunua camera huwezi amini ipo tu inapata vumbi.. Yaani kubwa kutembea nayo challenge sana .Ushauri mzuri huu kulingana na kunipa urahisi wa kushare itakua poa sanaa ila IPhone nasikia zina limitation sana kwenye apps zisizo Official
Naona Galaxy itanifaa ninachotaka kapata picha Angavu bila kupungua ubora hata ikihamishwa kwenye screen nyingine
Kuibeba nayo ni mtihani maana kuna wakati ukishapiga picha inakubidi ufanye mambo mengine, unashindwa kutembea nayo muds wotePamoja bro. Kusema kweli issue ya camera mimi napenda sana kupiga picha. Nikanunua camera huwezi amini ipo tu inapata vumbi.. Yaani kubwa kutembea nayo challenge sana .
View attachment 2941622
Nimeandika na ID yako ili mtu sije dhania nimedownload tu picha randomly.
Ingawa yangu nilinunua 2020 hafu haikua bei mbaya kama unayotaka kununua ww Mil 2. Hii ilikua kama Laki 7 -9 hivi sikumbuki vyema.
Ila kamera naamini inaweza ikawa na picha kali zaidi ya simuPamoja bro. Kusema kweli issue ya camera mimi napenda sana kupiga picha. Nikanunua camera huwezi amini ipo tu inapata vumbi.. Yaani kubwa kutembea nayo challenge sana .
View attachment 2941622
Nimeandika na ID yako ili mtu sije dhania nimedownload tu picha randomly.
Ingawa yangu nilinunua 2020 hafu haikua bei mbaya kama unayotaka kununua ww Mil 2. Hii ilikua kama Laki 7 -9 hivi sikumbuki vyema.
Nunua iphone 15 Pro Max utakuja kunishkuruHabarini Wakuu!! kazi yangu Inategemea Sana Picha Video Kidogo. Mimi Ni Dalali Huwa Napost Majumba Mtandaoni.
Muda Mrefu Nimekua Nikitumia Kamera Za Simu, Naona Sipati Ubora Ule Ninaoutaka
Sasa Naomba Mnipe Ushauri Ni Kamera Gani Itakayonifaa Kwa Picha Za Mnato Ndani Na Nje Ya Nyumba, Ikiwa Inachukua Na Video Nzuri Inapendeza Zaidi!!
Nipate Wide Angle Nzuri Na Picha Angavu Hata Mazingira Yenye Ukungu
Bajeti Isiyozidi Mil 2, Ila Kama Ni Ndogo Nitategemea Mapendekezo Yenu, Kikubwa Nipate Kitu Bora
Mimi Nipo Dar, Ni Duka Gani Nitapata Au Kama Ni Kuagiza Site Gani Na Namna Ipi Itaweza kunifikia?
Asanteni Sana
Chief-Mkwawa , Dr Lizzy , Uhakika Bro , R.K , Kalaga baho , MESHACK WARIOBA , Flava90s , westandtogether, 6WaS9, Mpwayungu Village, snipa, leroy, Lyamber
View attachment 2941591View attachment 2941592View attachment 2941594
Hamna mkuu, kwa professionals sawa ila kwa sisi point and shoot tofauti ndogo.Ila kamera naamini inaweza ikawa na picha kali zaidi ya simu
Hiyo ni zaidi ya gallaxy S24 mkuu?Nunua
Nunua iphone 15 Pro Max utakuja kunishkuru
Kama unafanya editing yoyote ile baada ya kupiga picha tafuta simu yenye Raw, mafile ya DNG yanakuwa hayajafanyiwa process, unamalizia mwenyewe baadae kwenye pc.Ushauri mzuri huu kulingana na kunipa urahisi wa kushare itakua poa sanaa ila IPhone nasikia zina limitation sana kwenye apps zisizo Official
Naona Galaxy itanifaa ninachotaka kapata picha Angavu bila kupungua ubora hata ikihamishwa kwenye screen nyingine
Hii ni imani tu. Kwa kiwango simu zilipofikia. Ukichukua simu unakuwa umepata 2 in one.Ila kamera naamini inaweza ikawa na picha kali zaidi ya simu
Kwa budget yako mkuu unaweza uka afford vyote camera na simu nzuri, kwa pixel sio lazima uwe na latest version maana ni computational photography, unaweza uka subiria pixel 8A inayo kuja hopeful inaweza kuwa chini ya 1.5MIla kamera naamini inaweza ikawa na picha kali zaidi ya simu
Pixel 8A Inatarajiwa kutoka lini mkuuKwa budget yako mkuu unaweza uka afford vyote camera na simu nzuri, kwa pixel sio lazima uwe na latest version maana ni computational photography, unaweza uka subiria pixel 8A inayo kuja hopeful inaweza kuwa chini ya 1.5M
Kuhusu Camera you need Dslr, camera haziwi updated mara kwa mara kama simu, Camera used ya miaka kadhaa iliopita na iliotoka mwaka huu utofauti utakua mdogo tu. Dslr second hand kuanzia laki 3 unapata, unahitaji knowledge ya lens kwa kazi zako lensi ipi inafaa na accessory mbalimbali vyema utafute mtaalam ambaye yupo field akusaidie kwenye hili ama uliza forum za picha.
Pixel zinapatikana wapi mpyaKanunue Google pixel, ila iwe mpya usinunue used
Simu yenye raw Ndo Simu Gani mkuu na Raw kazi yake nnKama unafanya editing yoyote ile baada ya kupiga picha tafuta simu yenye Raw, mafile ya DNG yanakuwa hayajafanyiwa process, unamalizia mwenyewe baadae kwenye pc.