Naomba ushauri wa Course ya kujiendeleza VETA?

Naomba ushauri wa Course ya kujiendeleza VETA?

danford83

Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
7
Reaction score
6
Habari,

Je ni course gani ya Veta ambayo ungemshauri kijana akasome Veta itakayomwezesha kujiajiri au kuajiriwa?
 
Umeme wa magari naiona ina fursa nyingi ya kuajiriwa ama kujiajiri sababu sasa hivi gari nyingi ni za Automatiki.

Kwahiyo fursa hiyo kwa vijana
Hii kozi naielewa sana,sema miaka miwili na haya majukumu daah
 
Nenda kasome drafting and mason 3yrs duration au welding hutakaa mtaani kuanza Julia lia ili uajiriwe

We are still building all over the world
 
Back
Top Bottom