Naomba ushauri, uume kushindwa kusimama

TOMEE

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
588
0
Mara nyingi nikipiga bao la kwanza napumzika karibu nusu saa ndo napata uwezo wa kuendelea na round nyingine, kwa maana kuwa baada ya bao uume unalala mpaka nusu saa ndio unasimama tena.

Naomba ushauri wenu, nifanyeje?
 

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
Kwakua si swali la kidaktari naomba nikujibu kijamii.
Tendo la ndoa ni tendo linalotokana na msukumo wa hisia ambalo kwa mwanaume ufanisi upatikane kwanza lazima taarifa itumwe ktk ubongo,ubongo huzalisha umeme ambao hupeleka msukumo wa damu ktk viungo vya uzazi(uume) ndipo hupata msisimko wa kusimama na kua tayari kwa shughuli tarajiwa.

Ili uhalisia wa tendo la ndoa upatikane basi lazima misisimko iwepo pande zote mbili kwa mwanamke na mwanaume.

Ushauri wangu tumia hiyo nusu saa kumtayarisha na kumuandaa mwenza wako awe tayari kulifurahia tendo la ndoa kama unavyolifurahia wewe.
 

Pips Man

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,438
2,000
Mkuu hilo si tatizo but ni dalili ya tatizo tena si ajabu unapomaliza la kwanza unahisi usingizi kabixa au hata kulala hili ni kawaida kwa wanaume wengi kwani sperm huwa zinazalishwa hivyo uume usinyaa kusubiri sperm kujaa tena kwenye mayai na energy inayotumika ni nyingi mno kiasi cha kusababish usingizi mzito ila haitakiwi ichukue mda mrefu hivyo kwa kawaida ni dakk 5 hadi 15 tu...!!nakushauri utumie sana vyakula vya asili matunda mengi zaidi na mboga mboga za kijani pia kama unataka kudo usiku kwa mfano ni vyema ufanye maandalizi mapema kuanzia asubuh yani hakikisha maji unakunywa ya kutosha at list litre 2 na nusu na kuendelea chakula cha kutosha ule ushibe afu weka mawazo yako kwenye tendo pia mwandae mwenzio hakikisha we ni msafi na mwenzio pia msafi harufu mbaya mda mwingine husafabisha hamu kupotea...!ni hayo tu mkuu...!!
 

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,634
2,000
Unatumia ndom au unatembelea ringi?

Kama unatembelea ringi usitoe unganisha juu kwa juu hadi la pili.
 

fakenology

JF-Expert Member
May 3, 2012
897
500
mi na ndom second round huwa haiishi na mpaka niitoe ndo mech itaisha.
sijajua shida ni nn?
 

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,504
2,000
Mkuu umeathiriwa na punyeto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mnaosema nyeto inamadhara kwa kufanya uwahi
waongo na uenda hamjawahi shiriki nyeto
mi napga nyeto mwaka wa 11 sasa
lakn dudu inapiga kazi kiasi ambacho dem wangu ananiambia baby nimechoka
mzunguko wa kwanza tu..inakuwa patashika kunasuka
 

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,504
2,000
nimeandika maelezo marefu ambayo yangekusaidia sana dogo lakin NIMesubmit imekataa mpaka nimekereka
siku nikipata nguvu mpya nitarudia kuiandika
ila hauna tatizo dogo wala huchofu, utaweza kuzunguka mzunguko uutakao ,tena kila mzunguko mpaka dem akuruhusu ndo unamwaga
we ngoja nijipange upya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom