Naomba ushauri, uume kushindwa kusimama

Moja. Acha utani wewe. Mwanaume rijali 3 na kuendelea. Kula katanga mbichi, maziwa mgando, asali, tafuna mhogo mbichi, mboga na matunda na maji.

naungana na huyo jamaa hapo juu, bao la kwanza hua ni kiafya zaidi, hayo matatu ni ile basi tu tumezoea sababu ya vitamaa vyetu vya ngono... kwa mtu mwenye control nzuri bao la kwanza lenyewe atalipeleka muda mrefu hadi mwanamke anachoka... its very possible, inakua huitaji tena kwenda la pili
 
Kwa mwanamme wa kitanzania hii kitu si anaona unampa shida tu. Uyasemayo ni ya ukweli kabisa ila tatizo la watanzania wanafikiri tendo la ndoa ni la kijeshi, yaani unachapa tu kwapu kwapu kisha unarudia tena. Usikute hata huyo uliyempa ushauri kakasirika kwa nini unampeleka shule wakati yeye anataka solution ya haraka haraka bila ya kumlainisha mwenziwe kitandani.
Nimesoma comment za watu wengine nikabaki nashangaa maana mtu kaishapiga bao inachukua nusu saa anaona tatizo tena na watu wengine wanaongezea kabisa na kumpa tiba (huyu lazima atakuwa anakaa kwao na demu anakaa kwao hivyo ukiamua kugegeda demu unahakikisha lile saa ulilolipata unalitumia vizuri lakini kama ni mtu mzima una kwao na demu yupo huru ukipiga bao kifuatacho nini hapo)
 
Umeona eheee, mambo ya kibongo fleva hayo.
 
naungana na huyo jamaa hapo juu, bao la kwanza hua ni kiafya zaidi, hayo matatu ni ile basi tu tumezoea sababu ya vitamaa vyetu vya ngono... kwa mtu mwenye control nzuri bao la kwanza lenyewe atalipeleka muda mrefu hadi mwanamke anachoka... its very possible, inakua huitaji tena kwenda la pili

Umechoka wewe watu tunakmbiza had tano....we kmoja kaaaaa
 
Umechoka wewe watu tunakmbiza had tano....we kmoja kaaaaa
Sijasema napeleka kamoja, soma hadi mwisho uelewe... Nasema kiafya mara moja tu inatosha, kwenda zaidi ni ile bac tu tunaenda kwa kulazimisha, na siku hizi ngono zinadanganya kila mtu... Usidhani ni sifa kwenda mara tano, mi naona ni ujinga, na kuja kujisifia unaenda tano nyie ndo hua mnamkabwa mwisho wa siku, jamaa moja alikua anatamba mi naenda hadi 12 ukinipa binti nilale nae usiku mzima, hata vitatu hakufika.... Hua nawaangalia tu, nacheka mnaojipa sifa za ovyo... Mwanaume safi huku bao moja dakika tano mko tyr mnafukuzia cha pili, huo ukuda, mtu safi bao la kwanza robo saa, kwa wastani, wataalam wa kamasutra wanavusha hapo hadi bao la kwanza mtu anaenda zaidi, sema for one position afu wabongo mnavoparamia an average guy 15min... kuna proba ya binti mwenyewe kuchoka, sasa wengine inafika muda hata raha hakuna tena sema mnaliendeleza tu, bii hasikii kitu, wewe nae hakuna kitu, sema for as long as limesimama unalilazimishamo tu, umeambiwa simba jike yule?
 
Fanya hivy TOMEE,

Nenda hospitali, mweleze daktari. atapima kuona kama kiwango cha hormones za kiume zinatosha mwilini mwako. Kama hazitoshi basi atajua la kufanya. Mara nyingi matatizo kama hayo yanatokana na upungufu wa hormones za kiume. Hata ukitumia hizi dawa za akina ... humu JF hazitasaidia kitu maana zenyewe ni za kusisimua tu na si za kuongeza vichocheo (hormones). Umenielewa nahisi.

chobazzz,,,...

Mara nyingi nikipiga bao la kwanza napumzika karibu nusu saa ndo napata uwezo wa kuendelea na round nyingine, kwa maana kuwa baada ya bao uume unalala mpaka nusu saa ndio unasimama tena.

Naomba ushauri wenu, nifanyeje?
 
Sijasema napeleka kamoja, soma hadi mwisho uelewe... Nasema kiafya mara moja tu inatosha, kwenda zaidi ni ile bac tu tunaenda kwa kulazimisha, na siku hizi ngono zinadanganya kila mtu... Usidhani ni sifa kwenda mara tano, mi naona ni ujinga, na kuja kujisifia unaenda tano nyie ndo hua mnamkabwa mwisho wa siku, jamaa moja alikua anatamba mi naenda hadi 12 ukinipa binti nilale nae usiku mzima, hata vitatu hakufika.... Hua nawaangalia tu, nacheka mnaojipa sifa za ovyo... Mwanaume safi huku bao moja dakika tano mko tyr mnafukuzia cha pili, huo ukuda, mtu safi bao la kwanza robo saa, kwa wastani, wataalam wa kamasutra wanavusha hapo hadi bao la kwanza mtu anaenda zaidi, sema for one position afu wabongo mnavoparamia an average guy 15min... kuna proba ya binti mwenyewe kuchoka, sasa wengine inafika muda hata raha hakuna tena sema mnaliendeleza tu, bii hasikii kitu, wewe nae hakuna kitu, sema for as long as limesimama unalilazimishamo tu, umeambiwa simba jike yule?

Duuuuuuh...pole mkuu jasho lnakutoka kutetea kamoja pole sana..kee kee keeeeeekeee
 
Piga supu ya nyama ya mamba mara moja moja tena supu ya kichwa ndo balaa. Ni PM nikuelekeze inapopatikana. Kwa mwaka unakunywa mara mbili tu, utakua unasimamisha hata ukiona kuku wanapandana! Ni shidaaaa!
 
Duuuuuuh...pole mkuu jasho lnakutoka kutetea kamoja pole sana..kee kee keeeeeekeee
watanzania hua mnatafuta kila njia kumprove mwingine wrong hata pale ambapo mnaelimishwa... ignorancy rate kubwa kiac hiki ni one reason hata bongo sitaki kurudi... ignorant afu mbishi...
Coming to think about it, whom are u proving urself to?? JF members with this kind of anonymity kila mtu anaficha jina! u gotta be kidding me...
 
kanachukua mda gani kuniathiri
maana miaka 11 mtu bado nakimbiza , naona kama mnabahatisha kauli zenu!

Kama kweli umepiga punyeto miaka kumi na moja na bado unamudu tendo la ndoa vizuri wewe utakuwa sio kawaida.
Maana kuathirika na punyeto ni sawa na kuathirika na ushoga kwani huwezi kuacha na mtu anakuwa hana hamu na mwanamke.
Kiujumla punyeto ni mbayaaaaaa.
 
haujui kuitumia mkuu
na unaonesha umebeba maneno ya vijiweni
mimi kama mwanachama mashuhuri wa hii shughuri nasema 'punye haina madhara yoyote' maana mashine yangu inasimama hata nione demu mkali akipita mbele yangu
yaani ni hatari sana mkuu!
 
Kweli wewe mtaalamu na kwa jinsi unavyoitetea inaelekea kwa siku unapiga hata bao 3 kwa style tofautitofauti, ila ushauri wa bank ni muhimu pia maana unaweza ukawa unapiga nyeto na ukajiona upo sawa kuna kipindi kikifika mambo yanaweza kwenda mrama si unajua hii kitu ni tofauti na mguu au mkono kwamba ukifanya mazoezi ya msuli ndio unazidi kuwa strong bahati mbaya kila kitu kinaendeshwa kwa ubongo na ndio maana kuna ambao kitu kinagoma lakini ukimwona jinsi alivyojazia kuanzia kifua mpaka mikono unaona jembe
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe mtaalamu na kwa jinsi unavyoitetea inaelekea kwa siku unapiga hata bao 3 kwa style tofautitofauti, ila ushauri wa bank ni muhimu pia maana unaweza ukawa unapiga nyeto na ukajiona upo sawa kuna kipindi kikifika mambo yanaweza kwenda mrama si unajua hii kitu ni tofauti na mguu au mkono kwamba ukifanya
mazoezi ya msuli ndio unazidi kuwa strong bahati mbaya kila kitu kinaendeshwa kwa ubongo na ndio maana kuna ambao kitu kinagoma lakini ukimwona jinsi alivyojazia kuanzia kifua mpaka mikono unaona jembe

Mkuu jamaa yupo sawa wengi wetu tumepig nyeto sana na hata sasa tumeoa but sijaona athari zozote zile mashine inanguvu kinoma mi nadhni hao wanaosema nyeto imewaathiri watakuwa na matatizo mengine wasiyowajua na wanakisia tu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom