Naomba ushauri tafadhali....

kwanza huo uchumba sugu wa miaka 5 mlikuwa mnasoma au? halafu kwann uwe mtumwa kisa umeahidiwa ndoa au kutambulishwa kwa wazazi,ndio maana hata huyo kaka yake alikuchoka kwa mashtaka sugu.
hebu angalia utu wako kwanza mengine baadae
 
Ni kweli kabisa

Unajua kuna wanaume ambao ni wafujaji sana na hawa wakimpata mwanamke ambae ana maradhi ya utegemezi wa hisia watamuumiza kimwili na kihisia sana

Ukisoma utaona huyo dada anaumizwa makusudi kabisa na huyo bweg.e kwasababi tu anajua kuwa Dada wa watu anampenda,huu ni unyanyasaji na haukubaliki kabisa

Dawa ya watu hawa ni kuwa jasiri na watawaogopa sana

Hongera kwa kuweza kuondoka kwenye mahusiano yasiyokufaa!!
 
Eti dada bila kuolewa na huyo mwanaume utakufa?

Acha kuendekeza mapenzi kiasi hicho,tumia akili muda wote,

Kama huwezi kujipenda usitegemee mtu awae yote kufanya hivyo!

Watu wameshakushauri,ni wewe kufanya maamuzi.
 
Asante 4 ur advice mpendwa
 
kwanza huo uchumba sugu wa miaka 5 mlikuwa mnasoma au? halafu kwann uwe mtumwa kisa umeahidiwa ndoa au kutambulishwa kwa wazazi,ndio maana hata huyo kaka yake alikuchoka kwa mashtaka sugu.
hebu angalia utu wako kwanza mengine baadae

Tulikuwa chuo mamii na mambo ya ndoa yamekuja baada ya kuniona naanza kumpotezea ndipo alipoomba msamaha na kunambia hatorudia ndo kwenda home.
Sasa nashangaa yanaendelea mamito....
Thanx kwa advice
 
kudadadeki....unaenda kwenye mateso hivi hivi wajiona....kweli kuna wanawake hawajipendi
 
Haya maajabu kweli!! Yan unamjua sio mwaminifu, alafu ww unachukua hatua ya kuolewa nae tena
Ingekua umeolewa hapo ni stor nyingne lakin ni wachumba, we piga chini tu.
Kupenda hakuna mwisho kwasababu kuna kusahau so naamin utapenda tu. Kiukweli sikushauri kuolewa nae just wait for your real husband.
 
Kama jamaa ni mtundu kitandani hata tuseme nn hapa huyu dada hawezi kubali ushauri wetu!

Hakuna asiyependwa kukojozwa countless rounds bana!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…