kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
poleni na mihangaiko ya sikukuu,hapa nilipo nina tatizo amabalo linanishinda kutoa maamuzi maana ni la muhimu katika maisha
mwezi wa sita nilipomaliza chuo nilitafutiwa kazi katika kqmpuni moja ya ki marekani hapa posta lakini ikashindikana kujiunga nao maana walikua katika hatua za mwisho za kuhamisha umiliki wake kwa watu wa afrika ya kusini hivyo nikaambiwa nisubiri wamalize kwanza hiyo hatua. wakati naendrlea kusubiri nilipata nafasi ya kwenda kufanyiwa usaili polisi lakini familia yangu ilinikaza na kunambia hiyo sio kazi nzuri sanaw kimaisha kwani inachikua muda mrefu sana kuendelea au kuweza kuwa katika maisha mazuriipoisha hiyo nilibahatika kutuma maombi ero link na kuitwa kwenye usaili na kupata kazi,familia yangu iliingilia kati na kusema kuwa mshara ni mdogo sana na ni kama nafanya kazi ya bure huku nikiwa na degree yangu halafu kazi yenyewe haindani na utaalam wangu. juzi tar 23 niliitwa kwenye interview na kuihidiwa kupata kazi na nimeambiwa niriport kazini kati ya tar 10 na 15 january mwakani.
baada ya kufanya interview na kujakuwaeleza nyumbani kuwa nimepata kazi,leo ndugu zangu kama baba,mama na kaka na dada zangu wamwnishauri niachane na hiyo kazi maana kuna mpango wa kutafutiwa kazi nzuri zaidi hapo mwakani na huyu anaetakiwa kuniajiri kwa sasa ni mmoja wa ma boss wa hilo shirika kubwa nalotakiwa kufanyiwa mpango nijiunge nalo na endapo nitaniajiri sasa itakua ni ngumu kuja kuacha kazi na kwenda kwenye shirika analofanyia kazi maana anaweza kunifanyia visa na mikasa nikaikosa hiyo kazi ili niendelee kumtumikia.jamni nishaurini nifanyeje hapo