Naomba ushauri simuelewi mke wangu

Hana mchepuko huyo na inawezakuwa unanisema mimi yaani uniamshe usingizini kisa nini?? Hata mie nikilala no kuniamsha kabisa na siombi sex naona haya mie mweeh....
 
Hakuna tatizo hapo ila yupo hivo tu, sio kila mwanamke anakuwa na hamu ya tendo la ndoa akasema, wengine hawasemagi na pia hawawezi kuanza wao kwa waume zao, so ni majaaliwa tu

Mimi ni mmojawao..... Na usingizi ni shida kwangu nikilala sitaki kuamshwa kabisa.. Ha ha
 

Dawa yake atafuta mchepuko tu. Alafu kaaa kama ezi tatu bila kuilizia kitu. Utamuona anajilekebisha. Ila na wewe uwe tayari kubadilika.
 

tamthilia za kifilipino hizi.,,
huyu dada kapoteza hisia kwa mumewe.,

huenda aliparamia ndoa., nashauri ahudhurie seminar na mafunzo ya ndoa. Kuna elimu amekosa.
 

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
 
Vipi labda ni wale ambao minara ya mawasiliano imeng'olewa hivyo network hua haikamati?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…