Naomba ushauri simuelewi mke wangu

Jitahidi utafute mbinu na maarifa juu ya suala zima la MAHABA. Wakati mwingine kumuandaa mwanamke ni suala linaloanza mapema. Pengine hata kabla hujarudi nyumbani. Tumia mawasiriano kama njia mojawapo ya kumuandaa. Jitahidi kutafuta ''style'' zenye kumhamasisha tena na tena pia kauli zako ziwe zenye kujaa bashasha.
 
mweeeee!!! we huoni hapa inahitajika ulaumiwe wewe kwa kutomkuna vyema mwenzio kiac kwamba hilo tukio hana mood nalo so anatafuta vicngizio tu kulikwepa, ungekuwa unamkuna yaani ukigusa bega tu tayari ashachojoa!!!
 
Ndugu em twende taratibu kidogo tukidiagnose chanzo cha tatizo,,

* mlidumu ktk uchumba kwa mda gani? Na perfomance yake iliukaje kabla na baada ya uchumba?? Endapo mlikua mkigegedana

*Ni mke wa ndoa kabisa mna baraka toka pande zote.?

*kama ni wa ndoa ,je ulitoa mahari kwao?

.., jibu kwanza haya ndg.
 

Nina miaka nae 2, ni mke wa ndoa kabisa ya Kanisani, na Mahali nililipa.
 
kwanza futa hayo maneno kuwa unahisi kuna mchezo mchafu. Unatoa wapi haya mawazo mabaya? au wewe una tabia ya kuchepuka unafikiri na mwenzio nae kaanza? Mwenzio anachoka, anahitaji kupumzisha mwili wake. Kila kitu na wkati wake. Kwanza we unakuwa wapi mpaka ukute keshalala? kwa hiyo unamwambia kabisa "mama nanii amka nikurenge"?. Wenzio "wanaojali" hujitolea hata kuwasaidia wenzi wao vijikazi ili tu waweze kuingia kitandani pamoja na pia inasaidia kumuandaa mwenzi kisaikolojia. Kimaumbile mwanamke hafanani na mwanaume. Lazma hisia zipaliliwe. Halafu si kila mwanamke ana ujasiri wa kuanzisha mgegedo. Kumbuka tunaishi kwenye jamii inayotuambia mwanaume ndo anaanzisha, mwanamke kuanzisha ni ishara ya umalaya n.k. Taratibu mtaelewana. Mpaka mfikishe miaka mitano mtakuwa mmeshajuana kama hutaharibu hapa katikati kwa kukurupuka.
 
da kwel we hujielew, unamuamsha ka anaitwa na mgen? mwamshe kwa kumchezeachezea kiulain ahic anaota baada ya hapo utaona anahangaika hangaika kisha mpige ballcorne
 

Mwanaume mwenye aibu atakuwa shoga
 

!
!
omba kazi ya ulinzi uwe unamgegeda mchana kutwa ili usiku akilala wewe unakuwa kazini.
 
Hizi ndoa zina mambo lakini!!dah nikue niyaone
 
usipowafikishaga panapo huwa wana sababu za kijinga jinga kweli yani,.... Hapo kaza buti.... chukua siku moja mfanye kisawa sawa yy ndo atakuwa anakuamsha usiku mbona....
 
Wanawake wwngi hawapendi kuamshwa....

Niligundua hilo kwenye group za fb asilimia kubwa wamesema hawapendi....

na inachangiwa na majukumu ya kutwa nzima....wakati anhekaheka baba upo na remoti...anaamka wa kwanza na kulala wa mwisho hivyo akiweka ubavu kama unataka fanya hapo hapo ukichelewa itakucost

Msome mwenzio upate soln
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…