MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
aisee hukuni sawasawa looo!ungekuwa unakuna mwenyewe unakuta kavua pichu anataka,au anakufanyia choko kieleweke una tatizo kama sio uchafu,basi unanuka kama sio basi una kabamia labda,au mkeo anamchepuko jichunguze kwanza ndipo uchunguze pole weeeNimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!
yawezekana humkuni vizuri kiasi cha kumsahaulisha huo usingizi wake.
Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!

Jf never boring...... ina maana yeye anapoenda kulala wewe unakuwa wapi? mi naona ni bora muongozane kuondoa mzizi wa fiina
Dah its remind me of my home city............!Hakika aisee yan kuna wadada wanamaudhi kweli eti akipitiwa na usingiz asiamshwe??? hahahahaaaa. if I were a boy........... angesanda
Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!
Nionavyo Mimi mkeo huwa unabugudhi na humtayarishi wewe unafikiri tendo la ndoa linaanzia hapo kitandani,ukweli ni kwamba hata mimi nikishalala sahau kabisa wala usiniguse .Jitahidi kujirekebisha bwana usiwe kama mbakaji.Nimekaa na Mke wangu miaka 2 sasa, tuna mtoto 1, Kinachoniumiza kichwa, Mke wangu yeye nikitaka tendo la ndoa anadai nimuwahi kabla hajapata usingizi, akishasinzia nikamwamsha ili tupeane tunda anachukia sana, na asubuhi hivyo hivyo, leo nimemuuliza kama anamchepuko bora aniambie akasema yeye hana isipokuwa huwa hapendi kuamshwa akishalala. Je? hii ni kawaida au kuna kitu kinaendelea? Na nisipomuanza mimi hata wiki inapita, anadai eti huwa anaham lakini hawezi kuniambia! Hii ikoje wadau? Nahisi kuna mchezo mchafu unaendelea, naomba ushauri wako!