Asante mkuuKaka pole hiyo sio thyroids issues ?kama goitre au lump ,itakuwa upungufu madini ya iodine hayo ,nenda hosp upime Thyroid function uone au tafuta hiyo iodine na selenium supplement ule uone ,nakiete phamarcy naona watakuwa nazo
Ndo inakuaje?Tembelea maduka ya spea used za makorodani pale Muhimbili
Jaribu kwenda hospital ingine kubwa,usikie watasemajeHabari ndugu zangu,
Naombeni ushauli wenu, Kwenye korodoni zangu pembeni upande wakulia kuna kauvimbe mdogo hauna maumivu lakini jana nilipoamka upande wakulia kiunoni kushuka chini nilipata maumivu japo sio makali yakaida Ila yakaja kupoa, nikaona isiwe shida ngoja leo niende hospitali, nilipoenda hospitali doctor alinikagua na akasema inatakiwa anichane atoe kauvimbe hako. nilishtuka Sana kwanini imekuwa serious hivi.
Nimekuja kwenu kuomba ushauli kwamba siwezi kupata dawa yakutoa huu uvimbe bila kutumia njia hiyo yakuchana?
Na huu ugonjwa unatokana na nini?
Ushauli wenu tafadhali
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] c ameshaenda mkuu.. au hujasoma mpaka mwisho...pole mkuu nenda hospital kwa ushauri zaidi
Habari ndugu zangu,