Naomba ushauri, nina uvimbe kwenye korodani

Naomba ushauri, nina uvimbe kwenye korodani

Mkuu Mimi sipati maumivu yoyote nakojoa vizuri tuu kila kitu kinafanyika vizuri kwa uimara wake Ila Kuna siku nlibonyea Sana ndio nkaanza kuskia maumivu lakini badae yakaja kukata mpaka Sasa lakini haka kauvimbe ndio kananitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
All in all kuwa serious na afya yako nenda hospital na kama umeambiwa uondolewe wacha waondoe whether una maumivu or not usije develop kitu kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom