Nikweli mkuuKwani humu hamna madokta ??
Kwani humu hamna wanao lijua hilo tatizo ??
Unajua Maana ya JF-Doctors ??
Dogo hujalazimishwa kucomment Ungepita kimya kimya
Yani ilimradi tuu uonekane umejibu
Awkward creature
Nimekuelewa mkuujaribu kuwa na sifa ya kondoo pale hunapotaka msaada wengine humu wanapenda kukupa challenge wakuone the way ulivyo kwanza hasa kwenye kujibu maswali
peace kaka
Asante, na hiyo inatokana nanini ?Hernia labda ila kwa uhakika lazima daktari akazione hizo kende
Mkuu naomba Kama unazifahamu dawa za hernia unipe majina yake [emoji120]Hernia labda ila kwa uhakika lazima daktari akazione hizo kende
Mkuu kwa hospital Mara nyingi Ni operation, lakini sio kubwa kivile, Hernia Ni mshipa wa ngiri kwa kienyeti labda tiba ipo.Mkuu naomba Kama unazifahamu dawa za hernia unipe majina yake [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi sipati maumivu yoyote nakojoa vizuri tuu kila kitu kinafanyika vizuri kwa uimara wake Ila Kuna siku nlibonyea Sana ndio nkaanza kuskia maumivu lakini badae yakaja kukata mpaka Sasa lakini haka kauvimbe ndio kananitisha sanaMkuu kwa hospital Mara nyingi Ni operation,,lakini sio kubwa kivile,
Hernia Ni mshipa wa ngiri kwa kienyeti labda tiba ipo.
Lakini ushaprove kuwa Ni hernia?,maana uvimbe wa hernia sharti uume,Sasa Kama wako hauumi hiyo siyo,,
Una tatizo jingine,either ngozi,kansa ama uvimbe wa kawaida tu
Ni afadhali uwahi mapema utibiwe upone ili uje ule tunda ukiwa huna mawazo
sawa kwani hakuna dawa lazima kisu?Ni afadhali uwahi mapema utibiwe upone ili uje ule tunda ukiwa huna mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani....Hernia labda ila kwa uhakika lazima daktari akazione hizo kende