otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 100
- 135
Hapa utampotosha na hizi siasa!Muone Wakili, na hapohapo kimbilia Takukuru
haya Madeni yenye Riba hewa Waziri wa Fedha na Mipango Bw Mpango alishayakataa tangu Disemba 2019
yupo jamaa Bukoba alikopa milioni 8 kwa Harusi ya kijana wake na akaaha Kadi ya Benki kila Mshahara ukiingia jamaa anakata rejesho na riba ikafika milioni 67
akagangamala zimerudi zote kupitia Mkuu wa Mkoa Brigedia Gen Gaguti
Wapi ?Habari za leo ndugu zangu,
Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.
Je, nifanye nini kwa sasa?
Wakili ndio hataki pesa? Mawakili sio kwamba atashinda KesiHapa utampotosha na hizi siasa!
Mhhh! Haya!Wakili ndio hataki pesa? Mawakili sio kwamba atashinda Kesi
utamsababishia apoteze mali zaidi kwa wakili na Hukumu
jamaa lazima ajichanganye atumie Wakili na ubabe atumie pia ndio maana yangu
wewe unamsaidiaje? mbona huweki bayanaMhhh! Haya!
Hao wanasiasa hawawezi kuwasaidia kitu. Zaidi sana watayachukua matatizo yenu kujitafutia ujiko.wewe unamsaidiaje? mbona huweki bayana
naomba ufahamu hakuna wezi kama Mawakili na Mahakimu
sasa badala ya Kagera kwa Brigedia angalia hii ya Mh Katambi huko Dodoma juzi tu
@otimbiotimbi Pambana Mkuu mvanie Mkuu wa Wilaya yoyote km una hakika mkopo wako una mushkeli na hasa Riba za kubambika, kwanza lazima walipe Kodi TRAhuu hakuna biashara za kukopeshana kiholela kwa riba za 50% angalia dk ya 13:50 anazungumzia Mikopo aliyorudishs ya kitapeli
naomba nikueleweshe Kesi zote za kukopeshana ki SACCOS /MITAANI hazipokelewi MahakamaniHao wanasiasa hawawezi kuwasaidia kitu. Zaidi sana watayachukua matatizo yenu kujitafutia ujiko.
Juhudi zao za kutatua migogoro ni nzuri lakini haziko katika mkondo sahihi.
Mkuu wa mkoa hawezi kuzuia mambo ya mahakama. Kuna procedures za kufuata, ambazo wakili atazifanya.
Huu ni ushauri tu kwa wale wanaopenda kukimbilia kwa wanasiasa!
Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.
Habari za leo ndugu zangu,
Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.
Je, nifanye nini kwa sasa?
Tii wito, nenda Mahakamani ukajue msingi wa madai ili ujue namna sahihi ya kuyajibu.Habari za leo ndugu zangu,
Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.
Je, nifanye nini kwa sasa?
Habari za leo ndugu zangu,
Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Samansi yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu,Deni analodai si halisi kama lilivo katika documents ni kubwa sana.
Je, nifanye nini kwa sasa?
salama mkuu?.Nilienda tarehe 28.05.2020 mahakamani ikapangwa kuwa tarehe 04.06.2020 natakiwa nipeleke majibu ya kwanini wasiuze mali zangu!@otimbiotimbi wewe umetuachia timbwili la nyani huku shambani
umeomba ushauri hata hukurudi kutupa mrejesho au ni Mada ya kutunga
ok na pole sana, hapo kimbilia kwa Wakili akuandikie hayo mapingamizi ni ndani ya siku 14 kam hutayapeleka kesho trh 04/June, kabla ya kuuza mali km nyumba utapewa siku 74, hapo jitahidi kulipa deni hilo kwani ni kubwa sana? na limechangiwa na Riba?salama mkuu?.Nilienda tarehe 28.05.2020 mahakamani ikapangwa kuwa tarehe 04.06.2020 natakiwa nipeleke majibu ya kwanini wasiuze mali zangu!