Naomba ushauri nimevamiwa baa.

chunga sana, hao wametumwa wakuleweshe ...
watu wa inteligensia wanasema hao ni "advance party". shtuka kimbia...
Haswaa! mawazo yangu pia hao wameambiwa chukueni hela hizi mniletee mlugaluga mmoja wa kum-cameron,sasa jamaa hajui anakunywa bia za posa/mahari yake bado honeymoon tu hapo na hawa ni ndugu wa bwana harusi hahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…