Naomba ushauri nifanyeje

Mzee na wewe unaponea allowance za huyo mzee, na umemuweka huyo demu wako kama kitega uchumi. Mwanaume gani wewe unatoa argument kuwa eti nikiachana naye sijui atapata wapi hela, aaagh, umenikera sana dogo.

Acha umburura, fanya kazi, kama unaona huwezi mtunza mkeo/mpenzio acha mapenzi muda wako bado, ukifika utaingia tu!
 
huyo demu akimaliza chuo ataachia mambo ili apatiwe kazi akiwa kazini ataachia mambo kwa wakurugenzi ili apate mipunga zaidi....kimaisha ya maendeleo huyo demu ni anaakili sana ila kimaisha ya mapenzi amefanya kosa kubwa mnooo na hato acha.....kaka fanya uamuzi wa akili mingi utakuja lia au kufurahi huko mbele
 
siku zote prefer gesti na hoteli.....kulala vitanda ambavyo hujatoa pesda kununua kunaweza kukuletea hatari kubwa
unaweza poteza maisha.......

cha kwanza hama hama hapo na usirudi tena....hata ukiendelea na huyo msichana hapo usikanyage

Hili ndo la Muhim sana,yaan alipaswa kurud kwenye chumba chake na uzi huu angeuanzishia kwake,
 
ah wee mwanawane kama anakupenda ebu muombe tigo ujienjoy tuu.
 
Jiulize unapenda vitamu(Kula good time kwenye nyumba uliyopangiwa na mume mwenzio) au vchungu(kugegedewa demu wako) after that jibu utakuwa nalo mwenyewe
 
kapime afya tu na muendelee na mapenz yenu. Mpaka kakwambia hvyo vyote kuna kitu hapo. Sometys hali duni huwa inashawish vitu vya ajabu hasa kwa wadada. Yeye anakufahamu kuwa huna hela lakn amekwambia dhamira yake

Kuna watu mna busara sana katika kutoa ushauri
 
wee hili liwe fundisho wanawake ni wamuwagegeda na kuwala tigo sio wakuweka moyo wako kwao.....wee viumbe wenyewe wanashindwa kuheshimu mili yao ndio wakuheshimu wewe!
ebu wacha utoto mle tigo huyoooo
 
Mbele ya Mungu wote nyie ni wazinifu.....................je huhitaji kushauriwa kuhusu hili.....................?
 

Natofautiana na wewe. Unapooenda kwa boyfriend wako huwa amekwambia kitanda unacholalia ni cha nani. Wanawake siku hizi kuhonga ni full shangwe, hayo ni makosa ya kiiufundi mtu yeyote anaweza kutana nayo.
 
Ni lazima tuwe tunawapeleka jando tena;
Hamjakomaa kabisa;
Hivi unaona sifa kuwekwa picha kwenye whatsaap na intagram, Loooh.

Na siku huyo mkinga akayokukuta ujue kichwa chako ni halali yake.
 
siku zote prefer gesti na hoteli.....kulala vitanda ambavyo hujatoa pesda kununua kunaweza kukuletea hatari kubwa
unaweza poteza maisha.......

cha kwanza hama hama hapo na usirudi tena....hata ukiendelea na huyo msichana hapo usikanyage


Shikamoo.
Nimecheka sana hapo kwenye vitanda.
 
Pole sana ushauri wangu fanya kazi ili umhudumie mpenz wako hiyo ni dharau kbs na huyo mwanamke hakufai co mwaminifu ht akiachana na mzee maisha hayatabiriki akikosa huduma bd anauwezo wakutafuta kwengine mwisho wa cku nikupoteza maisha kwenye hizo pesa kuna yalio jificha ondoka ukaridhike na maisha yk anaehudumia akijua atakutoa roho huwez kujua dem wako waliahidiana nn acha uvivu wa kufikiri
 
Mwambie asimuache,ili mradi wewe umekubali ku share na huyo mzee haina tabu
 
Natofautiana na wewe. Unapooenda kwa boyfriend wako huwa amekwambia kitanda unacholalia ni cha nani. Wanawake siku hizi kuhonga ni full shangwe, hayo ni makosa ya kiiufundi mtu yeyote anaweza kutana nayo.

yani nikijua boyfriend wangu kaongwa kitanda ni kibuti siku hiyo hiyo ... pumbafu kabisa
 
Beiby nmeongea yote yale ni hasira tu za wanaopenda kulelewa...cpo ivo beiby ucjekosa nipa hela ya mboga bure leo

wala sipo huko nimtazamo wako,hela ipo kwenye draw mummy
 
huyo mwanamke ana tamaa ya kama nyumba ya kupanga kafanya sherehe kuhamia wewe ni walpaper yake hili watu wasimcheke na ungesubutu kumjibu kwa hasira ungeambulia matusi na wewe ulialika marafiki zako kwenye sherehe ya kupanga si ujinga huo hona aibu uliyonayo sasa ulitakiwa upambane na demu kakujua una msimamo utapata tabu sana
 

Sasa nazidi kuelewa kwa nini wanaume wanaojitambua hawakubali kuoa wachagga, wanagegeda na kutoka spidi 120. Kijana kaeleza fika kuwa yuko Chuo, ina maana mwanafunzi, lakini unalazimisha aongeze utafutaji wa hela kwa vile kazidiwa na mwanamke. Aongeze vipi? Aende bodi ya mikopo wamuongezee loan, ajifunze kukwapua mifukoni? Au na yeye atafute sugarmami?
Jamani mmeona rangi halisi ya wachagga, vijana mnaotaka kuoa jioneeni wenyewe hapo mawazo ya mabinti wa kichagga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…