Naomba ushauri niende chuo gani kati ya TIA au IFM

ngwere96

Member
May 16, 2019
44
15
Habar wana JF

Niimechaguliwa katika vyuo viwili TIA na IFM course ya uhasibu, nilikuwa nataka ushauri wapi wapo compitent ambapo kunamjenga mwanafunzi kujiajiri au kuajiriwa.

Naombeni msaada
 
Ndugu itabaki kwako we mwenyewe wapi unapenda uende ila kulingana na swali lako IFM wako poa sana kuliko TIA so kwa vile uliomba ushauriwe me nakushauri nenda IFM ukakomae ndugu
Habar wana jf...nimechaguliwa katika vyuo viwili TIA NA IFM course ya uhasibu....nilikuwa nataka ushauri wapi wapo compitent ambapo kunamjenga mwanafunzi kujiajir au kuajiriwa
MSAADA
 
Kasome IFM kama kweli upo competent na uweke juhudi kwny masomo...vinginevyo utajilaumu kabla ya mwaka kuisha
 
Alaf nyie nyau mnao mshauri kwamba TIA sio kizuri mnazingua dogo nenda TIA kama unataka kufauru achana na mambo ya kufikiria ajira sijui ujinga wa competent competent gani kufauru kwanza hayo mambo mengine utaenda kuyapata huko huko chuo kama kuajiriwa au kujiajiri TIA is the best kwa Account IFM is the best kwa banking and finance mambo ya competent utayapata kazini kama ukiajiriwa au kama utajiajiri
 
IFM wako vizuri, japo sijasoma huko but huwezi kulinganisha na product za TIA
Kama hujasoma hapo unawezaje kulinganisha yani unaisifia product ya gucci kwa kusikia kwa watu wakati wewe hata kuivaa hujawai wala kuiona utomaso huo
 
Habar wana JF

Niimechaguliwa katika vyuo viwili TIA na IFM course ya uhasibu, nilikuwa nataka ushauri wapi wapo compitent ambapo kunamjenga mwanafunzi kujiajiri au kuajiriwa.

Naombeni msaada
TIA JAU BRO KIMBILIO LA WANA LILE ZAMA IFM MJINI HAPO MAMBO MWAKE.
SINA EXPERIENCE NA MITAALA YA BUSINESS ILA IFM IKO VEMA KUSHINDA TIA.
 
Chief IFM kuna elimu lakini sio kwepesi kuna kila sababu ya kufail ukiyumba kdg na kufaulu nako sio issue sana.YOUR WARMLY WELCOME AT IFM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom