Naomba ushauri ndugu zangu

Ni njaa tu inaonyesha kijana alikua ana jitahidi ku provide ukaleta uchuo chuo sasa usha maliza njaa ina kupiga ume anza kumiss walio kua wana jitokeza kipindi icho una jiona hot.
Huyu amechezea miti na anaona KM zimesonga na hakuna dalili za kupata mwanaume wa maana anaamua kujirudisha kwa mwamba
 
Tukiondoa ugumu wa maisha, Mahusiano ni Sababu ya pili inayoongoza kwa kusababisha Tatizo la Afya ya akili .

Labda ni ngumu kueleweka tho.

Kua mvumilivu, changa karata zako upya. Labda kuna vitu vya kuachwa au kurudiwa ili maisha yaendelee
 
No, mm bado nakuwaza sana na nimepitia mengi mno ya kuniumiza tangu ulivyoondoka na mpaka sasa sipo sawa kiakili, tafadhali njoo pm tuongee Japo Akili yangu irudi kuwa sawa
 
..... naona noma kumtafuta mahali alipo ataniona najipendekeza maana yeye ndio alianza kuacha kunitafuta.....
Baadhi ya wanawake mna Ego sanaaa..!!!
Kwahiyo akianza kukutafuta wewe itakuwa fresh???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Achana naye, Move on.
Kubali kuwa hiyo meli imeshakuacha
Maisha lazima yaendelee. Unaweza kunicheki PM kwa ushauri zaidi.
 
Memories na moments mlizokua nazo before kutengana ndo zinakukill you...
 
Age go.....
Huna maajabu unataka umrudie nani wakati umechoka enzi uko peak ulimsumbua sana
 
Una uhakika mkuu?
A lot of women wako Ivo now enzi nipo chuo walikua wanakaa mbali kisa sina chapaa na sio sharobaro baada ya kumaliza unalamba ajila na maisha kuwa safi apo sharobaro kachoka anakuja kukwambia hukuwa serious kipindi kile

Finally ya mwanamke ni miaka 30 baada ya apo kwisha.....
 
😅
 
Mh, tafuta jamaa akazitoe coz zinaonekana zimejaa sana.
Umefunga mada, hakuna jambo jengine linalomletea nfadhaiko na sonona zaidi ya hilo.

Akipata dozi atatulia na kumsahau huyo shakubimbi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…