Naomba ushauri, nataka kwenda Dubai

Am looking for chances to explore the world in a way that i can develop my self. Exposure, financially.

If it is safe go for it bro, huwezi jua utafungua milango gani lakini kama unahisi unaweza kurudi ulipokua komaa hapahapa bongo
 
Tunaodaiwa na TALA, Branch, Voda songesha na Tigo nivushe unatushauri nini?
 
Ungedadavuwa in details ungesaidia wengi sana.
 
Hehehehe
 
Wasema Zimbabwe,
Zanzibar tu hapo tunasema population yao ndogo, wengi wamekimbilia Nchi za Nje wametapakaa kila kona na wanavutana balaa,

Hiyo Burundi sasa umeiona? Soon itaifikia SA vijana kwa Wazee wamekimbilia Nje na kwa pamoja wanashindana kuijenga Nchi yao, Bujumbura inakua kwa kasi sana,

Sie bado tunasita sita kwenda Mashariki tu hapo.
 
M natafuta agent wa kuaminika nami nipae uko uko.. bongo nishachoka
 
Mkuu usirudi nyuma, Mwanzo wa hisabu siku zote huwa ni moja. Ukishafika huko nirahisi kufanikiwa kupata kazi ya kipato cha juu zaidi kuliko kuisubiria hapa.

Ila ujiandae kisaikolojia, Maisha Dubai ni expensive sana, So Mwanzo uta straggle sana mpaka kufikia hatua ya kupata utulivu. Ila aliyekwenda kenda, wapo kibao wameshatoboa na walianzia kama hivo. Uvumiliuvu unahitajika.

Na jengine Dubai ni nchi ya Starehe sana, na starehe zake ni gharama. So Kuwa makini sana vyenginevyo unaweza kurudi mtupu huku.
 
Sure
 
Ulifanikiwa kuondoka..? Naona huu Uzi wako ulikuwa unataka kuondoka kwenda Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…