1800dhs ndogo sana mkuuWakuu poleni na majukumu Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 32 nimepambana Sana bongo nika fanikiwa kujenga kibanda na kununua gari ndogo Mambo yalikuwa vizuri lakini baada ya Samia kuingia madarakani ndipo Mambo yalipo Anza kuhalibika nilivunjiwa vibanda vyangu vya tigo pesa...
Pole sana kwa yote uliyopitia. Inasikitisha kusikia kuhusu changamoto unazokabiliana nazo. Kuhusu mchongo Dubai, kabla ya kufanya uamuzi, ni muhimu kuzingatia gharama za maisha huko pamoja na mshahara unaopokea.Wakuu poleni na majukumu Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 32 nimepambana Sana bongo nika fanikiwa kujenga kibanda na kununua gari ndogo...
Kuwa makini hapo, jiridhishe.Hapana
Asante Sana kaka kuhusu gharama za chakula ,maladhi, bima ni juu ya muajiri wangu mkuu ndio nasubiri mkataba nisome vizuri then nichukue mamuzi ila mpaka Sasa Kaka nadaiwa na bank More than 7 millionPole sana kwa yote uliyopitia. Inasikitisha kusikia kuhusu changamoto unazokabiliana nazo. Kuhusu mchongo Dubai, kabla ya kufanya uamuzi, ni muhimu kuzingatia gharama za maisha huko...
Ni vizuri kujua kwamba mwajiri wako atagharamia gharama za chakula, makazi, na bima. Hata hivyo, inaonekana kwamba una deni kubwa na benki.Asante Sana kaka kuhusu gharama ,za chakula ,maladhi, bima ni juu ya muajiri wangu mkuu ndio nasubiri mkataba nisome vizuri then nichukue mamuzi ila mpaka Sasa Kaka nadaiwa na bank More than 7 million
Acha uoga nenda huko Duniani,Asante Sana kaka kuhusu gharama ,za chakula ,maladhi, bima ni juu ya muajiri wangu mkuu ndio nasubiri mkataba nisome vizuri then nichukue mamuzi ila mpaka Sasa Kaka nadaiwa na bank More than 7 million
Atalilipaje bila kutafuta pesa si ndio aende akazitafute ili alipe deniNi vizuri kujua kwamba mwajiri wako atagharamia gharama za chakula, makazi, na bima. Hata hivyo, inaonekana kwamba una deni kubwa na benki. Ni muhimu kuweka malipo ya deni lako kipaumbele kabla ya kuzingatia maamuzi makubwa ya kifedha, kama vile kuhamia nchi nyingine. Je! Umewahi kufikiria kutafuta ushauri kutoka kwa mshauri wa kifedha au mshauri wa deni ili kukusaidia kusimamia deni lako na kuunda mpango wa kulilipa?
Angekua anaenda Marekani, Uk, German ungesema pia hivyo?Vijana wengi wakienda huko hufanywa kuwa sex slaves na wanapakwa makeup [emoji168] kabisa