Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,425
- 8,369
Acheni utani. Anaenda kijijini mnamwabia aende na tecno? umeme vipi? maana hayo ma advanced scientific calculator hayakai nacharge kabisa.
Pia Tecno pale penye low network signals haiwezi kustahimili. Nadhani itakua inakuletea magumashi kuingia net.
Kaka Q Man mi nakushauri umcheki Samsung. Kwakua kijijini nadhani tatizo ni umeme na 3G basi Samsung ndio suluhisho. Kama dukani unaweza pata galaxy s1 au version a chini yake. Pia ukimcheki Asha au Lumia sio mbaya, used hiyo pesa unapata nzuri tu.
Tecno f7
Hiyo cm bei yake ni lakini 4.5 hadi 5.mkuu Nina phantom yaani naenjoy sana hivi salsa hatuangalii jima la kampuni nilikiwa na Nokia lumia huduma ya mpesa na huduma za salio hazifanyi kazi na upuuzi mwongine.....sasa nemenumua tecno f7 ni simu nzuro sana.hasikudanganye mtu
Mkuu mi nko samsung ila phantom wanaisifu sana yaweza kuwa sawa na S3 mini?

jamani hakuna smartphone inayokaa na chaji ,mm hapa natumia tecno p3 lakini chaji majanga,imenibidi ninunue betri la ziada
je ukiwasha asubui chaji inaicha saa ngapi ?. Namimi nataka niende p3 mkuu
we hyo lumia gan,mbona yang inafanya yote hayo?????