Naomba Ushauri Nataka kununua Smartphone

Naomba Ushauri Nataka kununua Smartphone

Mkuu hiyo f7 ni habari nyingine inafungua net sijapata kuona,camera inapiga picha hatare !!
S 3 Mini haitii mguu kwani f7 ina processor ya Quad.
Sipati picha mwakani miezi kama hii tecno tutakua tunaongea mengine.
 
tatizo dharau lkn phantom f7 ni moto wa kuotea mbali charge si ya kitoto acheni dharau na kudhani laki 450 ni simu ya kitoto
 
Mkuu hiyo f7 ni habari nyingine inafungua net sijapata kuona,camera inapiga picha hatare !!
S 3 Mini haitii mguu kwani f7 ina processor ya Quad.
Sipati picha mwakani miezi kama hii tecno tutakua tunaongea mengine.

zote ni dualcore cortex a9 zina speed sawa. ila tecno ina hd screen na kioo kikubwa so expect kuwa slow compare na s3 mini
 
jamani hakuna smartphone inayokaa na chaji ,mm hapa natumia tecno p3 lakini chaji majanga,imenibidi ninunue betri la ziada

Asee nina techno D5 inapiga mzigo ile mbaya...inajitahidi sana kukaa na chaji,still ni cheap xana
 
Mkuu mi yangu ni Phantom A+ ina cpu ya 1.2 Quad core !!

mara f7 mara A+, hio a+ ina quadcore lakini inatumia cortex A7 ambayo ni ndogo.

hebu jaribu kueka games kubwa kubwa za HD uone hizo lag zake
 
Uko wapi? Nauza samsung galaxy Y Pro duos, in good condition

Kama unahitaji sema



Natarajia kwenda kijijini hivi karibuni, na ningependa niendelee kupata habari za JF kupitia Internet ya simu. Hivyo naomba ushauri ninunue smartphone aina gani ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu. Bei iwe kati ya 200,000/ - 250,000/-
 
Kama ni ile ya windows phone 8 inasupport USSD unawezacheck salio,tumia mpesa,nk. Ila lumia zilizotoka nyuma zinazurun wimdows 7.5 na kushuka ndizo zinazosumbua mambo ya mpesa, salio,nk.

ahsante kwa ufaham nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom