Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo?
Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k pia kama kuna biashara nyingine halali naweza kufanya inayoweza kunipa faida nzuri?

Test the market Kwanza tafuta watu wanafanya biashara hapa ununue kwao wakupunguzie wew uuze juu kidogo lakn Bei isiwe kubwa then uone soko likoje na Kama ukileta bidhaa zako utaweza
Vifaa vya electronics hapa SA ni cheap kuliko bongo especially TV na radio,ingia hata kwenye website za game.co.za,, HiFi.co.za nk. Pia tuna mizigo ya kitaa ambayo ni ya wizi utapata cheap zaidi kama una connection. Usiogope kuanza mdogo mdogo.