Naomba ushauri namna ya kumshauri

Naomba ushauri namna ya kumshauri

Alichokuwa anakitaka ndio hiko ameshakipata asiyefunzwa na mamaye ulimwengu humfunza ila inaonekana bado mdogo wako anampenda mkewe mwambie afanye vile moyo wake unataka


You have a point. Na hii hadithi na ya upande mmoja. Infact ni kutoka kwa 'third party'.

Kipendacho roho...
 
Kijana hayo mambo waache waamue menyewe. Yeye ndo anajua anamuhitaji tena ama laaah. Halafu usikute mdogo wako alimfanyia shem vitimbi hadi akachoka ndo akaondoka sasa kama wote wanaamua kujirekebisha waache.
Ni kweli! Maana hapa tunaangali na kuhukumu upande mmoja tu. Kufanya uamuzi kwenye ndoa ya mtu ni kazi mno. Usiusemee moyo!!
 
Back
Top Bottom