Naomba Ushauri: Namchukia ila nimempa mimba

Naomba Ushauri: Namchukia ila nimempa mimba

Hutokaa uwaelewe wanaume kamwe!!! Sasa humpendi sa hivi alivyo mama kijacho au toka zamani, na kama toka zamani ilikuwaje kichwa cha chini kikasimama kwa usiyempenda???!! Hakutaka future na mwanamke mwenye mtoto, ukajua kabisaa ana mtoto halafu ukakipeleka kichwa cha chini hapo tena bila hata mpira leo hii unataka ushauri gani sasa, ushalima ndo usubirie kuvuna tena uandae na sehemu ya kuhifadhi mazao yako
 
Mtoto lazima umpende tu, na usijaribu kumtelekeza cuz utakuja kujuta baadae, msee ile mimba amebeba yeye sio wewe, ww jukumu lako ni kumpa matunzo tu tena pia sio kila siku, so wewe mbona huna mzigo hapo? au tatizo liko wapi?
Tena pia sio kila siku. What the hell?

Wewe kuna siku inapita hujala? Hujavaa, hujaoga? Mpaka sio kila siku iapply hapa.

That child is innocent. Hampendani, kimpango wenu. Hamli mkashiba sio kazi yake.

He is supposed to have all his needs catered for regardless of anything. Tear each other into pieces but make sure that innocent child is well taken care of all the days of his life.

N/B. Na iwe funzo kwa mtoa mada na wengine wote ku control tamaa za kimwili.
 
its a lesson for sure.with thanks.
 
Better get your affairs right.

Be answerable for your actions and remember to respect the woman who bears you child especially since you are certain the baby is yours.

Do not be afraid. You will make an awesome, sweet and loving Daddy.

God Bless.
thanks much..
 
tatizo ni kwamba sikuwa tayari kuanza future na mwanamke ambaye tayari ana mtoto na mwanaume mwingine na mwanaume huyo akiwa angali hai
Kama hukuwa tayari kuzaa na single mother unadhani huyo atakaekuja kumuoa huyo Dada nae atakuwa tayari kulea watoto wawili wa baba tofaut wako huyo mpende tena ikibidi na ndoa ipite kila la kher
 
Mtoto lazima umpende tu, na usijaribu kumtelekeza cuz utakuja kujuta baadae, msee ile mimba amebeba yeye sio wewe, ww jukumu lako ni kumpa matunzo tu tena pia sio kila siku, so wewe mbona huna mzigo hapo? au tatizo liko wapi?
Kulikoni umelambwa ban tena we mume wa jje's?
 
Sasa hayo makusudi mmeyafanya wote, wewe hukutumia mpira na yeye alikuwa siku za hatari mkavuna mlichokipanda.

Hakuna kuchukiana pendaneni kama mwanzo.

Kwani ulivyomtongoza ulimwambia umempenda au umemtamani!!?

tena mumshukuru Mungu mnapata mtoto, je mngepata maradhi?
KWA kweli yaani mpitishe na ndoa kabisa ili msizini tena
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Habari za jion ndugu na wadau wa jukwaa hili maridhawa..

Nia ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya maisha yangu ya sasa ambapo nategemea mtoto na dada mmoja ambaye kiukwel ni bas tuu ila sikuwa na future naye na ni vile tamaa za mwili nikajikuta nimempa mimba..kiukwel kutoa mimba sitaki kufanya hivyo na pia huyu dada amekwishakua na mtoto mmoja tayar na mwingine..swali langu ni je?huyu mtoto hata akizaliwa ntakuwa na mapenzi nae kweli maana hivi sasa sitamani hata hio mimba ajifingue..yaan kiukwel huyu dada namchukia lakin ndio hivyo nisaidien ushauri..

Natanguliza Shukrani.
Nyie ndio mnaosababisha masingle mother wanazidi kuongezeka[emoji19]
 
tatizo ni kwamba sikuwa tayari kuanza future na mwanamke ambaye tayari ana mtoto na mwanaume mwingine na mwanaume huyo akiwa angali hai
Muue huyo mwanaume mwingine aliyezaa naye mtoto ili ukae na huyo binti
 
Mtoto atakaye zaliwa anaweza kuwa "Nyerere, Nelson Mandela, Akawa mtu muhimu sana kwenye maisha hata mkombozi wetu juu ya uchumi na hali ngumu ya kaisha"? Usiizime ndoto ya mafanikio yake mtoto kungali mapema hivi
Una akili nyingi kama chungu
 
Back
Top Bottom