Naomba Ushauri: Namchukia ila nimempa mimba

Naomba Ushauri: Namchukia ila nimempa mimba

Tena pia sio kila siku. What the hell?

Wewe kuna siku inapita hujala? Hujavaa, hujaoga? Mpaka sio kila siku iapply hapa.

That child is innocent. Hampendani, kimpango wenu. Hamli mkashiba sio kazi yake.

He is supposed to have all his needs catered for regardless of anything. Tear each other into pieces but make sure that innocent child is well taken care of all the days of his life.

N/B. Na iwe funzo kwa mtoa mada na wengine wote ku control tamaa za kimwili.
Wacha upiimbi, Uliona wapi hela za matunzo zikatolewa kilasiku???
Hebu na ajitokeze mtu yeyote aliyewahi kupewa au kutoa hela za matumizi kilasiku...
Hata huyo chris brown mwenyewe alipangiwa awe anatoa kila mwezi...
Vitu vingine kama hamjui ulizeni tu,,, ebo..!
 
Habari za jion ndugu na wadau wa jukwaa hili maridhawa..

Nia ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya maisha yangu ya sasa ambapo nategemea mtoto na dada mmoja ambaye kiukwel ni bas tuu ila sikuwa na future naye na ni vile tamaa za mwili nikajikuta nimempa mimba..kiukwel kutoa mimba sitaki kufanya hivyo na pia huyu dada amekwishakua na mtoto mmoja tayar na mwingine..swali langu ni je?huyu mtoto hata akizaliwa ntakuwa na mapenzi nae kweli maana hivi sasa sitamani hata hio mimba ajifingue..yaan kiukwel huyu dada namchukia lakin ndio hivyo nisaidien ushauri..

Natanguliza Shukrani.
Inaweza kua Mimba ya ya huyo Dada ina ku affect somehow,its not normal kwa mtu kuikubali mimba halafu hutaki hu wish izaliwe,no ndoto ya kila Mwanamme amuone mtoto wake na aitwe Dad sasa wewe mwenzetu reason unayotoa mbona its not a valid reason? sio bure huenda hiyo Mimba inakusumbua wewe..
 
Upo tayari na wewe kufanya hivi kwa utakayekuwa umezaa nae?

hebu muwe na mnatumia akili, vipi mzazi wako wa kiume angefanya hivi kwa mama yako?

unajua jinsi gani mwanamke anateseka kulea mtoto peke yake? unajua jinsi mtoto anavyokuwa mnyonge anapokuwa yupo mbali na mzazi mmoja ilhali huyo mzazi wake yu hai.

Acheni kujifikiria nyie tu wala kumfikiria mwanamke kuwa unamkomesha, kwa maamuzi hayo anayeteseka ni mtoto.

Kama unaona huna future na mwanamke mwambie kabisa "kwa sasa jitahidi usipate ujauzito maana bado sijajipanga kulea ngoja tujipange kwanza" hapo hata likitokea la kutokea unaweza kulaumu.

Maamuzi mengine mtu uwe unawaza vipi kama dada yangu ndio anafanyiwa hivi
Huo unaoleta wewe sasa ni uwehu, Umemulewa mtoa mada lakini?
Yeye ameuliza, kati ya kumtelekeza mwanamke au kumpenda mtoto, what if ningemshauri amtelekeze??
Hiyo niliyomwambia ni tiba ya indirect kwa mtu aliyepanga kutelekeza,,
the same kwa mtumiaji wa madawa, huwezi kumuachisha immediately, lazima aache kidogokidogo.
anyway Kama kutoa matunzo kwa mtoto ni dhambi basi MTOA MADA NAKUOMBA UMTELEKEZE HUYO MWANAMKE, HUENDA WATU WATAKUELEWA TU
 
Ugeni unakusumbua tu.

Mtoto akishazaliwa utazoea tu.

Acha uoga wa Maisha.

Mtoto ni Zawadi kubwa sana
 
Wacha upiimbi, Uliona wapi hela za matunzo zikatolewa kilasiku???
Hebu na ajitokeze mtu yeyote aliyewahi kupewa au kutoa hela za matumizi kilasiku...
Hata huyo chris brown mwenyewe alipangiwa awe anatoa kila mwezi...
Vitu vingine kama hamjui ulizeni tu,,, ebo..!
Use your head. Zinazotolewa kwa mwezi unafikiri ni za matumizi mara moja kwa mwezi?

Ni matumizi ya kila siku ambayo yanatolewa in whole. Sasa makubaliano yenu mnaweza kuchagua kwa wiki kwa mwezi ama daily.
 
Use your head. Zinazotolewa kwa mwezi unafikiri ni za matumizi mara moja kwa mwezi?

Ni matumizi ya kila siku ambayo yanatolewa in whole. Sasa makubaliano yenu mnaweza kuchagua kwa wiki kwa mwezi ama daily.
Kubishana na huyu ni sawa na kubishana na mtu asiyekuwa na akili titamu ni wa kumpuuza tu
 
tatizo ni kwamba sikuwa tayari kuanza future na mwanamke ambaye tayari ana mtoto na mwanaume mwingine na mwanaume huyo akiwa angali hai
Hukua tayar kuanza future nae.... Lakini ulikua tayar kuanza future ya kuchikuchi, vuna ulichopanda uko.
 
hapana mkuu mim ni mwanaume kwa tamaa zangu mwenyew nilifanya na kumpa mwanamke mimba
Tulipewa akili ili tuweze kucontrol matendo yetu mkuu na sio tamaa ( tamaa iwe controlled na akili), sasa kama utaendelea kutumia tamaa kucontrol matendo yako utaishia kujilaumu kila siku.
 
Use your head. Zinazotolewa kwa mwezi unafikiri ni za matumizi mara moja kwa mwezi?

Ni matumizi ya kila siku ambayo yanatolewa in whole. Sasa makubaliano yenu mnaweza kuchagua kwa wiki kwa mwezi ama daily.
Hahahah... Sasa unaongea nini? Abdalah unamuita Dula alafu unajiona mjanja?
Lengo ni kutotoa hela kilasiku, na hakuna hela inayotosha NEVER..!!
So usimpangie eti ampe hela inayotosha kwa mwezi,
Bora umwambie ampe kwa kadri uwezo unavyomruhusu, cuz haijawahi kutokea hela ikamtosha mtu, hata billgates hela haimtoshi ndomana daily anafanya kazi... OVA
 
Hahaha... Wewe jamaa bado haujawa na point,
mbona ndio fasheni ya skuizi hiyo? Unampa mimba demu anakaa kwao, wewe unakuwa unatuma matumizi maramojamoja kwaajili ya mwanao, na haina uhusiano wowote na mapenzi yenu, tena unaweza ukamtema alafu ukawa unatunza mtoto tu baaas... Umeelewa? Sio lazima mtu ukimpa mimba ndo uishi nae,
mfano mzuri fanya kama alivyofanyiwa kwenye mtoto wake wakwanza
Utakuwa unaroho mbaya wew
 
Ssa we kama unamchukia mtu ilikuaje ukamvua chupi, ukapiga kavu na mimba juu. Aisee huo n uzembe wako deal nao tu.
 
Roho mbaya ndio inakuwaje?
Au kipi kigezo cha kunishutumu?
Angalia maneno yako "ndio fasheni siku hizi kumpa demu mimba na kumuacha kwao, we mteme tu nk." hapa inaonyesha haujali kabisa nafsi ya yule mwanamke, ww unadhani huyo mwanamke akitendewa hivyo atajisikiaje, huu ni ubinafsi maana umefikiria kama mwanaume na bila kujali upande wa pili.
 
Back
Top Bottom