Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

Jitahidi unywe Arvs kwa wakati usiache
 
Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri
Ukitaka ulishinde tatizo lazima ujue chanzo cha tatizo

Hayo mambo uliyopitia kama ungependa kuyataja ingekuwa rahisi sana kujua tunaanzia wapi kukusaidia sophy27

Wewe umetueleza impact tu za hali ulizopitia. si rahisi kutoa ushauri au kuna uwezekano ushauri usiwe na matokeo chanya maana haugusi chanzo cha tatizo
 
Mapenzi! Mapenzi! Mapenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…