Asante dearUlipima UPT?
Kuamka asbh kwa waajiriwa wengi ni mtihani sana.. pengine hizo changamoto ulizopitia ndio sbb ya yote.
Jipe muda, usiforce mwili uwe sawa wakati akili yako bado inawazia hizo changamoto.
Kama akili haijaachilia ulichokipitia basi ni ngumu sana kuishinda hiyo stress
Pole
Ndio hiyo ni mimba ππ ushajazikaππHamna bhana una hamu kuitwa anko sio
jina lipo si ZUWENA we anza kwenda clinic πππNgoja nianze kutafuta jina