Naombeni ushauri wanajamvi.Nimehitimu chuo mwaka 2016 Bsc in science nikimajor Mathematics na Physics.Baada yakuona ajira za ualimu zinazngua nataka nisome Postgraduate ya engineering yoyote.Je mnanishauri nisome engineering ipi ambayo ntapata ajira fasta nikimaliza