Naomba ushauri na mawazo yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri na mawazo yenu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ulamaa Hemed, Sep 22, 2012.

 1. U

  Ulamaa Hemed Senior Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba kuwauliza wanachuo hasa wa UDOM VP ikiwa mtu amekosa Mkopo je upo uwezekano wa kujisomesha mwenyewe?.namzungumzia mtoto wa mkulima hukooooo kijijini
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,125
  Likes Received: 12,837
  Trophy Points: 280
  kama hujapata mkopo unategemea nini kama si.kujisomesha mwenyewe ukishindwa kaa nyumbani
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hauwezi kusoma chuo bila hela,kusoma pale kwa aina mbili Goverment sponsorship au Private Sponsorship so kama umekosa gov try priv.
   
 4. M

  MR TSETSE FLY Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aise!bila mkopo au private sponsorship inabidi ujaribu kustrugle wewe mwenyewe.Otherwise unaweza ukakaa nyumbani ukapiga jembe kisha ukapata mkwanja kwa ajili ya mwakani.
   
 5. JOAQUEM

  JOAQUEM JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1,435
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  unaweza kusoma kama unao huo uwezo wa kujilipia kila kitu au kama utapata mtu wa kusponsor
   
 6. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  una weza kusoma under private sponsorship lakini wewe vyanzo vya fedha unavyo tegemea ndio muhimu kuvi weka wazi ili upate kusaidiwa kimawazo na wana JF
   
 7. U

  Ulamaa Hemed Senior Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nategemea zaidi michango midogo midogo ya ndugu na jamaa
   
Loading...