Dah umeniwahi nilitaka nimpe same advise,kila mara nimekuwa nikiwaasa watu hasa wanoanza haya maswala ya mapenzi kuwa mara karibu zote huwa hayataki ukweli,kwani watu huwa hawapendi kuwa na wapenzi waliotumika sana,sasa ukiweka ukweli hata mtu angekuwa anakupenda kiasi gani ladha yote huwa inaondoka.Kamwe usimwambie mtu ukweli wako wote atakuja kutumia kama silaha dhidi yako kuna mambo yanabaki kuwa yako binafsi
Kwa kifupi "Babu ubishi" kachemsha! hiyo source anayodai kuwa nayo HANA na ndio maana hawezi kuiweka hapa.
Mugongo*2 Kama unasubiri "source" basi utasubiri SANA! all the best.
Mm ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yy ni bikira lakn mm sio. Sasa inaleta shida nlipomwambia nmesha sex Mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha. Kaka na dada zangu naomben ushauri. Pleeeeeaseee. Mimi nampenda kweli na yy anasema ananpenda lakn Hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka. Mm Nina uhakika wa afya Yangu niko salama kabisa. Nifanyeje??
Kamwe usimwambie mtu ukweli wako wote atakuja kutumia kama silaha dhidi yako kuna mambo yanabaki kuwa yako binafsi
We katoto ni malaya, yaani miaka 20 relations 3!!? Na wote unafanya nao kwa wastani wa 2X una/wanakutema?
Kwa kifupi wewe ndo hujui unataka nini katika relations.! We binti bado mdogo sana hamishia akili yako shule au kwa sababu kuna uzi unasema wanaoolewa ni std VII na au form IV? Usichukulie serious mwanangu.
Huyu sio malaya bali kahaba na hiyo 6 hapo kuna wale aliowaficha hivyo ni kama 20 hivi
Yaani mwanaume ndo Bikra??? Haya tena mazito mweeeh Una uhakika gani??? Changa la macho hilo ndugu
njoo kwangu na mm nimesex mara 6 tuu kwa hiyo tutalinganaMm ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yy ni bikira lakn mm sio. Sasa inaleta shida nlipomwambia nmesha sex Mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso anatishia kuniacha. Kaka na dada zangu naomben ushauri. Pleeeeeaseee. Mimi nampenda kweli na yy anasema ananpenda lakn Hilo swala apo la kusex Mara Sita linamchnganya akili sasa ameniwekea mashaka. Mm Nina uhakika wa afya Yangu niko salama kabisa. Nifanyeje??