nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,029
- 2,902
Sawa kabisa mimi jamaa alishindwa kunilipa shg. 1,500,000/= . akahama na sikumdai mpaka leo. Nyumba ikapata mpangaji mwingine na maisha yanaendelea. Hakuna haja ya kugombana maana akihama nyumba ipo tu.Dah sema wenye nyumba wanakuwaga wababe sana huwa wanaona wameyapatia maisha. Halafu watoto wao wakina kuwa wakubwa wanapitia madhila Yale Yale waliyopitia wapangaji wao. Kama unaweza msamehe tu nyumba hayiami utapata mpangaji mwingine.