WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!
hapo solution zipo za aina mbili
1.Yeye angezewe ashiki kitaalam i.e hormone au
2.Wewe upunguziwe ashiki,just undergo vasectomy hiyo ndio for better for worse.Ukifuata totozi utakwama:bowl:
Ukweli ni kwamba mkeo kapoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa nawe,kuna mambo ambayo huwa yanafanya mwenza kupoteza hamu ya tendo la ndoa hivyo jichunguze kwanza na uone ni kipi kimepungua kwako na si kuanza kufikiria kuwa yeye ndiye mwenye tatizo.
Labda mrudi kwenye style za vijana BJ na za aina hiyo.
we Promiseme ulivyolichukulia kimzaha hata sina haja ya kukuambia
Nimeelewa mkuu,lakini nawewe umenielewa nilichosema?Kuna watu wenye umri zaidi ya huo na wanafurahia tendo la ndoa kama kawaida,kufikia ukomo wa kuzaa si sababu ya kutoweza furahia tendo.Natambua umenizidi umri lakini bado naweza kutoa ushauri kwako kwani nami naishi na watu wazima ambao wamezidi umri wako na wanachakachuana kama kawaida ingawa inaweza chukua hata wiki mbili mpaka mwezi huoni purukushani,wengine huamua kusafiri mbali kwa muda mrefu na wakirudi siku hiyo mambo huwa safi.Joseph,
Hivi umesoma kweli bandiko langu ukaelewa. Nimeshasema mke wangu kakosa hamu sababu ya menopause!! sio sababu nyingine, kha!!
Mkuu ngoja nikukosoe kidogo.hapo solution zipo za aina mbili
1.Yeye angezewe ashiki kitaalam i.e hormone au
2.Wewe upunguziwe ashiki,just undergo vasectomy hiyo ndio for better for worse.Ukifuata totozi utakwama:bowl:
charger,
Vasectomy haipunguzi ashki mwanakwetu au madr watusaidie hapa!! Hiyo No. 1 nitamshauri mamaaa akikubali tunatia timu hospital
Joseph,
Hivi umesoma kweli bandiko langu ukaelewa. Nimeshasema mke wangu kakosa hamu sababu ya menopause!! sio sababu nyingine, kha!!
SASATELE majibu yako yanadhiri miaka 51...Kila la heri katika kutafuta jibu la changamoto yako.Thanks Concrete, dah, jamaa angenilostisha na vasectomy!! Kweli laima uwe kama mbayumbayu - akiliya kupewa unachanganya na yako!! lol
Mzee wangu umetisha umenikumbusha mzee wangu fulani tulie kuwa tunasoma nae chuo pale moro yy alipata tatizo kama hilo nilikuwa nampeleka kahumba pale kwa machangudoa anajipozaWanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia sababu hakuna natural lubricants. Na hata tukitumia KY-Gel yeye asema hasikii raha kwa hiyo ile miguno na nini hakuna tena. Inakuwa kama nampa adhabu vile. Pia inakuwa mara moja kwa wiki 2 tena lazima nibembelezesana. Mimi niko na hamu na uwezokama kawaida. Nampenda sana mke wangu na kwa sababu ya imani yetu siwezi kuoa mke mwingine. Je nifanyeje? Zamani nilikuwa nadhani ndoa bila tendo inawezekana lakini sasa nauona moto wake!! Ikumbukwe pia kwamba vishawishi vya makinda si haba hasa ikizingatiwa kwamba i look younger than my age na hela ya mboga sio tatizo!!
Hivi kitu kikiwa DRY si ndiyo tamuuu jamani?? nauliza tu!