Naomba ushauri: Mke wa mtu ananitaka kwa nguvu

Naomba ushauri: Mke wa mtu ananitaka kwa nguvu

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,841
Reaction score
7,754
Habari zenu jukwaani,

Mada inajieleza.

Kuna mke wa mtu ananitaka na ikiwezekana anadai nizaenaye. Ndoa yao kwa nje inaonekana tulivu na yenye upendo. Nimekuwa nikimkwepa na kutojibu SMS zake na kutopokea simu yake.Anasema alinipenda siku nyingi ila baada ya kuona sina mpango naye, kaamua kufunguka waziwazi juu yangu.

Mi pia nimeoa na nina watoto. Yeye ni mama wa nyumbani na mumewe ni mtumishi wa serikali. Sasa naona anakera maana anasumbua sana. Anataka tutoke twende mbali tukabinjuke kwenye mji wa jirani walau siku mbili.

Naomba ushauri.

MREJESHO.

Wakuu nishafanya mambo, ni mtamu kweli kweli. Anataka niendelee kichapo kwa Siri. Tatizo umbali na muda pia.

Pia kanigaia hela yake nusu ya ukarani wa Sensa. Haya maisha bwana!!!
 
Naogopa na kumheshimu sana mke wa mtu,

Imagine fala mmoja ndo anamla mkeo,

Yaani yale manjonjo mixer miguno anaitoa kwa boya mwingine dah,

Sitakagi uhusiano na mke wa mtu hata nikija kuoa

Mimi na wanafunzi wangu wa la 7 mpaka form 3 na akivuka tu hapo baas simtaki tena
 
acha matamvua ya watu tamaa mbaya sana kaa mbali na wake za watu
 
Hili kwa sasa ni tatizo kubwa sanaaaa kuliko watu wanavyofikiria. Muombe mungu akuepushie hiki kishawishi jambo huwa ni ngumu sana Mwanamke akitaka lake mm nasubiri mrejesho baada ya miezi miwili si shauri kitu ila kazi unayo.
 
Uwe unatembea na hii kitu mfukoni, ukinaswa utapigwa kavukavu
220px-Kyjellyuk.jpg
 
Ana tuzuga tu huyu jamaa! MTU ANAYE OMBA USHAURI UJUE ANATAFUTA JIBU MBADALA.
Cha msingi endelea KUKATAA,

Au unataka kumgegenda????

Kumbuka: MLA VYA WENZAKE NAVYEKE HULIWA.
 
Habari zenu jukwaani,

Mada inajieleza.

Kuna mke wa mtu ananitaka na ikiwezekana anadai nizaenaye. Ndoa yao kwa nje inaonekana tulivu na yenye upendo. Nimekuwa nikimkwepa na kutojibu SMS zake na kutopokea simu yake.Anasema alinipenda siku nyingi ila baada ya kuona sina mpango naye, kaamua kufunguka waziwazi juu yangu.

Mi pia nimeoa na nina watoto. Yeye ni mama wa nyumbani na mumewe ni mtumishi wa serikali. Sasa naona anakera maana anasumbua sana. Anataka tutoke twende mbali tukabinjuke kwenye mji wa jirani walau siku mbili.

Naomba ushauri.
Hakikisha hyo safar mnayopnga chukua Lita za kutosha za maziwa mke wa mtu sumu
 
Alikuwa demu wako mwanzo au ulimtongizaga?????
 
Back
Top Bottom