Naomba ushauri, mke kanitoroka

Naomba ushauri, mke kanitoroka

Kishapata wa kumuoa, we tafuta mwingine ukae nae miaka miwili, endelea hivyo hivyo miaka miwili miwili, kwani una cha kupoteza? Halafu wanaume nasikia hamkui wala kuzeeka na mna hela kwahiyo tunza kibunda. Na nasikia wanaume mnaweza kupata mwanamke "yeyote" muda wowote ๐Ÿคฃ

Kikubwa tu mtumie msg mwambie aache wizi, mlokole gani mwizi? Atachomwa moto.

,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
tunza kibunda
point
 
Akishakuwa mfia dini achana nae. Hana mchango wowote katika maisha yako. Hata ratiba ya kula nyumbani kwako itaamuliwa na mwamposa.
 
Acha uongo ww๐Ÿค”๐Ÿค”hachepuki? Mi nimeanza kumla kitambo tu na hv ulivoondoka nlimshikisha ukuta napiga mapigo ya mwanaukome nlikuwa namslap huku namwambia mtukane mumeo....... anyway nikimruhusu atakuja mwenyw ngoja nimle mpaka nimkinai
We jamaa kwa kuvaa uhusika haujambo kbsa๐Ÿ˜‚
 
Habari wana Jamiiforums

Nilisafiri kwa muda wa siku kama 35 nikaenda Morogoro kufanya kazi, baada ya kukaa siku kama 30 nilirudi nyumbani ghafla kwenda kumsurprise mke wangu maana nilikuwa nimemmiss, nilipofika nilipigwa na butwaa baada ya kugundua kahamisha nguo zake, viatu, vyombo na kila kitu alichonunua yeye pale ndani na kabakiza vitu vichache sana.

Basi baada ya kumuuliza vitu vyake viko wapi amesema amevipeleka kwa rafiki yake ambae mim simjui. Baada ya kukosa maelezo ya kutosha niliondoka nyumbani na kurudi jioni nikakuta kabeba kila kitu kaondoka. Baada ya kufuatilia nikajua ameenda kanisani kwenye semina.

Hakurejea kabisa nyumbani na kwa muda wa siku 3 hapatikani kwenye simu na wala sikujua yuko wapi, hata wazazi wake pia hawajui.

Baada ya siku tatu akaanza kupatikana kwenye simu yake ndio akaitwa kwa wazazi akaenda na kusema ameamua tu kuondoka maana ameona hatujafunga ndoa na tumekaa miaka 2 hivyo amechoka kuzini anataka amrudie Mungu wake.

Ni kweli ndoa hatujafunga lakini taratibu za kiafrika zimefuatwa. Sina shaka sana na kuchepuka kwa kuwa hana tabia kama hiyo. Kiukweli nimepata stress sana.

Mpaka sasa sielewi nini cha kufanya.

Naombeni ushauri
Na wewe toroka
 
Baba, kila kitu kina mwisho. Hata mapenzi na mahusiano pia yanaishaga.
Pole.
 
Nimekutoa kwenye list ya wanaume baada ya kusema huna shaka kwenye kuchepuka kwakua hana tabia hizo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wewe ni zwazwa na usipojiongeza kutafuta mwanamke sahihi utateseka sana maiaha yako. Na mbaya zaidi mwanamke anakuwa na vitu vingi ndani zaidi yako dah umefeli sana
 
Usije ukakubali kufunga ndoa na huyo mwanamke hilo ni bomu linangoja alarm tu.
Nakukumbusha tu NDOA NI UTAPELI NA MTAPELIWA NI MWANAUME
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom