Naomba ushauri: Mama mkwe amemtafutia mke wangu mchepuko

Huyo jamaa mwenyewe si ndio wewe hapo?? Chukua maamuzi magumu mkuu
 
Mwambie aage kuwa anasafiri kikazi kisha asirudi atafute nyumba jirani na nama mkwe wake kisha avute goma la mitaa hiyohiyo aendelee na maisha yake
 
Kama huyo mke alimsaliti huyo the so called mchimba madin, hata yeye asishangae kusalitiwa!!!
 
akae hapo hapo njia panda.....si wanajiadai wanajua kuchomekea on road....ndio na yeye amechomekewa kwenye mbunye mkewe....mwanaume unaishije kwa wakwe????acha atombewe tuu....
 
Duuh mashaka
 
Mwanaume kuishi Ukweni ni AIBU

Mwanaume kumuoa mwanamke aliyeolewa na mwenye mtoto kabisa bila kujiuliza kuwa:

1) Kwanini haishi na mume wake aliyezaa naye?
2) Kama yupo mbali...je wana ndoa kamili na mawasiliano?

Kukurupuka tu na kuishi na mwanamke bila kuchunguza mambo ya muhimu kumuhusu ni hatari kubwa.
 
Amani kwenu,

Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe.

Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila kutokana na maisha kuwa ya tabu mume aliondoka kuelekea Mozambiq kuchimba madini na hakurudi tena mpaka jamaa yangu alipojitwisha majukumu ya kuoa.

Tatizo linalomsumbua jamaa yangu ni pindi alipooa aliamua kwenda kuishi na mke wake nyumbani kwao lakini pale kwao ikatokea sintofahamu na dada wa jamaa yangu ikabidi waende wakapange chumba, kule mama mkwe ikawa kila asubuhi lazima aje ashinde pale home kwa gia ya kujifanya anacheza na wajukuu na jioni anabeba chakula.

Kupita kama miezi sita tangu ule mchezo uanze mama mkwe akatoa ushauri kwanini wasihamie kule nyumbani yaani ukweni sababu nyumba ipo na nafasi na yeye mama mkwe atapunguza msafara wa kuja pale daily, jamaa yangu akashauriwa akakubali wakahamia ukweni sasa baada ya kuingia pale jamaa yangu ndio ameanziwa visa vya kuweza kuua mtu.

Jamaa yangu yeye ni dereva wa daladala sasa siku moja alipata udhuru akarudi nyumbani akakuta mlango wa chumba chake umefungwa na mama mkwe yupo pale barazani anafanya shughuli zake jamaa kuuliza akaambiwa mke ametoka akapiga simu haikupokelewa jamaa akaondoka siku nyingine akarudi tena hali ni ile ile jamaa akamuuliza mama mkwe kwani mama zuberi akiondoka haachi funguo.

Akajibiwa haachi basi jamaa jioni ikabidi angushe mtiti, kumbe pale kuna jirani anauona mchezo mzima ikabidi amg'ate sikio jamaa yangu ya kwamba kuna jamaa huwa anaingia pale na mama mkwe anawafungia kufuli kwa nje mpaka wanapomaliza shughuli zao na hawakuanza leo inavyoonekana mkwe anampenda mwizi zaidi kuliko mkwe halali.

Sasa mpaka muda huu jamaa amechanganyikiwa na mama mkwe amesema jamaa akitaka ahame yeye mwanawe abaki pale na mke ana mpenda na anafikiria watoto wake.

Naomba tumsaidie ushauri maana ameathirika kisaikolojia.
Jiangalie una kasoro gani, inawezekana wewe huna hela, una gubu, jogoo lako haliwiki, au huna adabu kwa wakwezo.
 
Me namshauri aachane na huyo mwanamke aachane na tabia za kusema eti anampenda, mpende akupendaye!!!
 
Jiangalie una kasoro gani, inawezekana wewe huna hela, una gubu, jogoo lako haliwiki, au huna adabu kwa wakwezo.
Hizo ni tabia za ndani ambazo sizijuu ila kesi ya ndugu ni hapa ubaoni
 
M
Amani kwenu,

Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe.

Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila kutokana na maisha kuwa ya tabu mume aliondoka kuelekea Mozambiq kuchimba madini na hakurudi tena mpaka jamaa yangu alipojitwisha majukumu ya kuoa.

Tatizo linalomsumbua jamaa yangu ni pindi alipooa aliamua kwenda kuishi na mke wake nyumbani kwao lakini pale kwao ikatokea sintofahamu na dada wa jamaa yangu ikabidi waende wakapange chumba, kule mama mkwe ikawa kila asubuhi lazima aje ashinde pale home kwa gia ya kujifanya anacheza na wajukuu na jioni anabeba chakula.

Kupita kama miezi sita tangu ule mchezo uanze mama mkwe akatoa ushauri kwanini wasihamie kule nyumbani yaani ukweni sababu nyumba ipo na nafasi na yeye mama mkwe atapunguza msafara wa kuja pale daily, jamaa yangu akashauriwa akakubali wakahamia ukweni sasa baada ya kuingia pale jamaa yangu ndio ameanziwa visa vya kuweza kuua mtu.

Jamaa yangu yeye ni dereva wa daladala sasa siku moja alipata udhuru akarudi nyumbani akakuta mlango wa chumba chake umefungwa na mama mkwe yupo pale barazani anafanya shughuli zake jamaa kuuliza akaambiwa mke ametoka akapiga simu haikupokelewa jamaa akaondoka siku nyingine akarudi tena hali ni ile ile jamaa akamuuliza mama mkwe kwani mama zuberi akiondoka haachi funguo.

Akajibiwa haachi basi jamaa jioni ikabidi angushe mtiti, kumbe pale kuna jirani anauona mchezo mzima ikabidi amg'ate sikio jamaa yangu ya kwamba kuna jamaa huwa anaingia pale na mama mkwe anawafungia kufuli kwa nje mpaka wanapomaliza shughuli zao na hawakuanza leo inavyoonekana mkwe anampenda mwizi zaidi kuliko mkwe halali.

Sasa mpaka muda huu jamaa amechanganyikiwa na mama mkwe amesema jamaa akitaka ahame yeye mwanawe abaki pale na mke ana mpenda na anafikiria watoto wake.

Naomba tumsaidie ushauri maana ameathirika kisaikolojia.
Hakuna anaeshauriwa kusaliti akasaliti, ukiona hivyo wote vimeo.
Hana mke jamaa
 
Back
Top Bottom