Naomba ushauri: Mama mkwe amemtafutia mke wangu mchepuko

Kama akithibitisha hayo aliyoambiwa ni ya ukweli kuna la kumshauri tena hapo?- aombe iwe alivong'atwa sikio na jirani ni majungu na uongo but kama ni kweli na asipochukua hata basi Bushoke anaafadhali
 
Sasa yeye anataka ushauri gani zaidi ya kumuacha, duh yaani binadamu wengine siyo rational kabisa kawa wanyama wa mwituni!
 
Amani kwenu

Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe

Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila kutokana na maisha kuwa ya tabu mume aliondoka kuelekea mozambiq kuchimba madini na hakurudi tena mpaka jamaa yangu alipojitwisha majukumu ya kuoa

Tatizo linalomsumbua jamaa yangu ni pindi alipooa aliamua kwenda kuishi na mke wake nyumbani kwao lakini pale kwao ikatokea sintofahamu na dada wa jamaa yangu ikabidi waende wakapange chumba,kule mama mkwe ikawa kila asubuhi lazima aje ashinde pale home kwa gia ya kujifanya anacheza na wajukuu na jioni anabeba chakula

Kupita kama miezi sita tangu ule mchezo uanze mama mkwe akatoa ushauri kwanini wasihamie kule nyumbani yaani ukweni sababu nyumba ipo na nafasi na yeye mama mkwe atapunguza msafara wa kuja pale daily,jamaa yangu akashauriwa akakubali wakahamia ukweni sasa baada ya kuingia pale jamaa yangu ndio ameanziwa visa vya kuweza kuua mtu

Jamaa yangu yeye ni dereva wa daladala sasa siku moja alipata udhuru akarudi nyumbani akakuta mlango wa chumba chake umefungwa na mama mkwe yupo pale barazani anafanya shughuli zake jamaa kuuliza akaambiwa mke ametoka akapiga simu haikupokelewa jamaa akaondoka siku nyingine akarudi tena hali ni ile ile jamaa akamuuliza mama mkwe kwani mama zuberi akiondoka haachi funguo

Akajibiwa haachi basi jamaa jioni ikabidi angushe mtiti, kumbe pale kuna jirani anauona mchezo mzima ikabidi amg'ate sikio jamaa yangu ya kwamba kuna jamaa huwa anaingia pale na mama mkwe anawafungia kufuli kwa nje mpaka wanapomaliza shughuli zao na hawakuanza leo

inavyoonekana mkwe anampenda mwizi zaidi kuliko mkwe halali

Sasa mpaka muda huu jamaa amechanganyikiwa na mama mkwe amesema jamaa akitaka ahame yeye mwanawe abaki pale na mke ana mpenda na anafikiria watoto wake

Naomba tumsaidie ushauri maana ameathirika kisaikolojia
Hivi kwa nini wabongo wengi wanapenda kuchimba madini Mozambique??

Ni kwamba hapa TZ hakuna au ni vipi?
 
mbona mchezo rahis sana huo

mwambie mwana ajarbu kutengeneza spare key kimya kimya ya hiko chumba chao wanchojifungia

then akikuta siku wamejifungia yy afungue tu aone ambacho hataki kuamin kinaendelea

tatzo kuu hapa mwana hana pesa ndo maana mama mkwe ana mdharau mwambie akazane kutafuta pesa
 
Si umesema jamaa ni dereva wa daladala.. Niambie route yake ili nimkwepe..! Nisije kupata ajali mie.. Maana sio kwa stress alizokuwa nazo huyo dereva..!
 
Atongoze mam mkwe hata kama halipi lakn aone nyeti zake tu ndo dawa
 
Kwanza huyo jamaa wako anahitaji maombi anaonesha hana msimamo na anapenda vya dezo ndo maana mke na mkwe wamempanda kichwani...unakaaje ukweni kwanza? Hiyo courage kaipata wapi...ajifunze kujitegemea kwanza ndo heshima itarudi
 
Mwanaume kuishi Ukweni ni AIBU

Mwanaume kumuoa mwanamke aliyeolewa na mwenye mtoto kabisa bila kujiuliza kuwa:

1) Kwanini haishi na mume wake aliyezaa naye?
2) Kama yupo mbali...je wana ndoa kamili na mawasiliano?

Kukurupuka tu na kuishi na mwanamke bila kuchunguza mambo ya muhimu kumuhusu ni hatari kubwa.
 
mkuu wanaficha makucha kabla
 
Pole sana najua ni wew c jamaa ako, straightly muache huyo mwanamke
 
Kalogezewa? Karuka stage?, bushoke?.Mwambie atafute chumba apange si ana kipato,mpige Kofi azinduke.
 
Back
Top Bottom