Naomba ushauri kwenu ninyi wastaafu

Naomba ushauri kwenu ninyi wastaafu

Asante mkuu ushauri wako nimeupenda zaidi.Nyumba ninazo nne tayari na tatu nimepangisha moja iliyobaki pia nitaipangisha nikistaafu kwani kwa sasa bado naitumia. Ubarikiwe sana mkuu kwa ushauri wako mzuri.
basi hewala, fuata hayo mengineyo, utaenjoi sana life, bustani ni kwaajili ya afya yako mikaango ya pale offisini uachane nayo, ili hata ufike miaka 120 hivi.
 
Mimi nina miaka 57 ni mstaafu . Kwanza niseme lugha aliyotumia ni ya kawaida kabisa nawashangaa wanaomshangaa . Napenda kukushauri siri ya kuweza kumudu maisha ya kustaafu ujaliwe na familia nzuri inayokuzunguka kuanzia mke , watoto na extended family wasiwe pasua kichwa . Hata ulipwe kiasi gani huwezi kufungua biashara yoyote ikafanikiwa kama hujapata mtu wa kuweza kuisimamia . Unatoka mjini kwenda shamba kujiunga na mkeo sawa . Nyumba ni kitegauchumi chako umeziacha na wapangaji nani anakupokelea kodi ? Sasa hivi wanakuheshimu uko karibu wanakulipa kodi . Ukiwa kijijini kama unafikiri watakurushia kwa M-pesa sahau . Jiandae na trip za kuja mjini kuja kudai kodi zako , kumwondoa mpangaji mkorofi , kufanya matengenezo na kutafuta mpagaji mpya . Waliomshauri agenge guest house ndio wamempotosha kabisa . Nitaomba uniajiri mimi mapokezi niwe napiga hela ya short time .
 
Ww mstaafu kibokoshikamoo kabisa
 
Gesti si ataisimamia yeye mwenyewe kama sehem ya kwenda kupoteza muda baada ya kustaafu
 
guest au hotel ni stress vibaya mno.... maana wasimamizi wanajikusanyia hela zao.. labda ukae mwenyewe reception hapo masaa 24..

utaambiwa hakuna mteja aliyekuja kumbe wahuni wamekula hela za short time tu

Na ukiweka camera utaona wateja wanaingia punde wanatoka kumbe unakomolewa reception anapiga deal na guest za jirani . Anawaambia vyumba vimejaa labda nikuchekie guest ya jirani . Anapeleka vichwa kibao baadae anafuata commission yake baadae .
 
Mimi nina miaka 57 ni mstaafu . Kwanza niseme lugha aliyotumia ni ya kawaida kabisa nawashangaa wanaomshangaa . Napenda kukushauri siri ya kuweza kumudu maisha ya kustaafu ujaliwe na familia nzuri inayokuzunguka kuanzia mke , watoto na extended family wasiwe pasua kichwa . Hata ulipwe kiasi gani huwezi kufungua biashara yoyote ikafanikiwa kama hujapata mtu wa kuweza kuisimamia . Unatoka mjini kwenda shamba kujiunga na mkeo sawa . Nyumba ni kitegauchumi chako umeziacha na wapangaji nani anakupokelea kodi ? Sasa hivi wanakuheshimu uko karibu wanakulipa kodi . Ukiwa kijijini kama unafikiri watakurushia kwa M-pesa sahau . Jiandae na trip za kuja mjini kuja kudai kodi zako , kumwondoa mpangaji mkorofi , kufanya matengenezo na kutafuta mpagaji mpya . Waliomshauri agenge guest house ndio wamempotosha kabisa . Nitaomba uniajiri mimi mapokezi niwe napiga hela ya short time .
Nadhani aliomba ushauri , Haya Kama Hayo hayafai Embu mwambieni afanye Nini basi coz naona ni kumkatisha tamaa tuu.
 
Mkuu changamoto ya kustaafu ni upweke na umasikini kama hujajipanga. Inatakiwa utafute kazi ya kukufanya ukutane na watu na kipato kisishuke.
 
Nadhani aliomba ushauri , Haya Kama Hayo hayafai Embu mwambieni afanye Nini basi coz naona ni kumkatisha tamaa tuu.
Hapana mm namuunga Mkono. Na ninamtia moyo.... na ninaamini anapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa walio ktk hali kama yake, wastaafu wengi hupoteza mwelekeo kabisa utadhani wameshitukizwa kustaafu, yeye kang'amua mapema na Mungu atakuwa upande wake pasi na shaka.
Awe mwangarifu mno na ktk lolote atalo lifanya ajuwekee akiba coz kwa jins ninavyoona ataweza kuish muda mrefu (wastaafu wengi hufa mapema kwaajir ya kuishi maisha magumu na yasiyo na staha) tu kwakuwa hawakujipanga...
 
Nani alishanionea huyu mstaafu anaitwa Makundubhyali? Sijui alisharudisha jezi au alifirisika jumla? Tunaomba mejesho kama alifanikiwa kustaafu na biashara zake ziliendeleaje?
 
Punguza umri wako
Wakuu mimi nimefikisha 55 ya ajira yangu serikalini. Naona kama nimechoka na kazi ya ajira na natamani kustaafu mapema shida ni kutojua changamoto za wastaafu.

Mfuko wangu wa akiba ya wastaafu wameniambia nitalipwa milion themanini na tano kwa mkupuo na kila mwezi nitakuwa nalipwa laki nne.

Kwa ujumla tayari nimejenga nyumba ya kuishi niliponunua shamba kijijini kama ekari 30 ,na pia ninazo nyumba kadhaa za nimepangisha mjini.

Hofu yangu inatokana na wenzangu waliostaafu hapa kazini na baadhi yao walikuwa na uwezo mkubwa kazini lakini wanaishi kwa dhiki kubwa na mara kwa mara wanakuja hapa kazini kupiga mzinga utafikiri bado wako kazini.

Kwa mstaafu yeyote mwenye uzofu wa maisha ya ustaafu anipe ushauri kabla sijaamua kuachia ngazi ya ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom