Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
tehe tehe teheHii lugha yako inafanana na mwenye miaka 55 kweli? Au ndio wazee wa mjini
tehe tehe teheHii lugha yako inafanana na mwenye miaka 55 kweli? Au ndio wazee wa mjini
asante sana mkuu kwa ushauri wako nitajaribu kuufanyia kazi.shikamoo baba, samahani kwa kuchelewa, ushauri wangu mdogo kabla haujastaafu punguza matumizi yako anza kuishi kwa kutumia laki nne ya mshahara wako ili uzoee hiyo hali, hela nyingine nyumba yako moja ibadili kisheria iwe rorge sijui kama nimepatia spelling, ukimaliza iangalie kwa mwezi inakupa sh. Ngapi hapo ndo ustaafu hicho kitakuwa kijiwe chako kutembelea mara kwa mara, weka vyumba hata kumi tu kila mwaka au miaka miwili unapaka rangi na kufanya matengenezo madogo hii itaifanya ionekane mpya kila siku
Khaa, laki 9 kila mwezi na bado kashindwa kuishi mjini? AU sijaelewa mkuu? How? Vinginevyo tutaanza kuogopa kustaafu though is unkwepable.Mkuu ninavyosikia kwa umri huo ile tarehe uliyofikisha miaka 55 ulitakiwa uwe ueshajaza fomu za kustaafu kabisa, lakini sasa hivi kama hizo tarehe zimepita ni lazima usubiri tu tarehe yako ya miaka 60. Huwa wanasema ukivuka tu hiyo 55 hakuna tena nafasi ya kusatafu hapa katikati. Wewe piga kazi tu maana uraiani nako hakufai sana. Kuna jamaa yangu alilipwa mafao milioni 200 na pension ya zaidi ya laki 9 kila mwezi (yeye alikuwa mkuu wa idara), ha! Hata miaka mitano haikuisha akawa kwenye mawe mapaka ikabidi aukimbie mji kwenda kujificha kijijini kwao nasikia siku hizi analima alizeti kwa jembe la mkono. Kustaafu bila mipango ni changamoto sana, ingawa hautafia kazini!! Anza sasa kupangilia mambo yako mpaka hiyo miaka 60 kuwa na nyumba tu haitoshi je, una akili za kusimamia hizo mambo? Maana jamaa yangu huyo alikuwa na alikuwa amejenga, ana mashine ya kukoboa na kusaga, akanunua gari kali ya kwendea kanisani, akanunua hiace 2, akawa anakunywa maji ya chupa (akaachana na maji ya kudownload). Lakini alifirisika mpaka akauza na nyumba! (AKILI KIONGOZI).
Wastaafu wengi bado wanasomesha vyuoni mfano., tena kwa rate yetu ya uzaaji wezakuta una watoto 3-4 wamefiatana chuo hiki na kile! Waliobahatika kumaliza chuo asilimia kubwa miaka 3 tegemea aendeleeKhaa, laki 9 kila mwezi na bado kashindwa kuishi mjini? AU sijaelewa mkuu? How? Vinginevyo tutaanza kuogopa kustaafu though is unkwepable.
Nimekuelewa kaka; so alikua analipwa kiasi gani before hajastaafu!? Maanake hi sasa ndio indicator yetu na sisi ambao still tupo makazini, inatakiwa kuanza kufanya uwekezaji wa maana from now aise.Wastaafu wengi bado wanasomesha vyuoni mfano., tena kwa rate yetu ya uzaaji wezakuta una watoto 3-4 wamefiatana chuo hiki na kile! Waliobahatika kumaliza chuo asilimia kubwa miaka 3 tegemea aendelee
Kuwa dependent. bado watoto wa wadogo zako na kaka zako waliotangulia mbele ya haki,huwezi kuwatupankwa kuwa huenda wewe wakati unatoka kijijini ulifikia kwa huyo kaka yako marehemu enzi hizo na alikukirimu kwa hali na mali, ni changamoto hasa.
sasa unategemea kwa mshahara huo uwezeje ishi mjini?
Ni kweli nashukuru kwa kunipa moyo.Yaangalie maisha kwa macho yako acha kujifananisha na wengine kwani 'people never have the same fate' hata kama wakipita njia moja, kama una nyumba mashamba, mawazo ya nini, kinachotakiwa hapo ni akili ya uwekezaji na kuchanganua nini ufanye. 'Namna ya kufikiria na kutenda ndo ambayo hututofautisha binadamu'
Wastaafu wengi bado wanasomesha vyuoni mfano., tena kwa rate yetu ya uzaaji wezakuta una watoto 3-4 wamefiatana chuo hiki na kile! Waliobahatika kumaliza chuo asilimia kubwa miaka 3 tegemea aendelee
Kuwa dependent. bado watoto wa wadogo zako na kaka zako waliotangulia mbele ya haki,huwezi kuwatupankwa kuwa huenda wewe wakati unatoka kijijini ulifikia kwa huyo kaka yako marehemu enzi hizo na alikukirimu kwa hali na mali, ni changamoto hasa.
sasa unategemea kwa mshahara huo uwezeje ishi mjini?
Hata mimi nimeogopa kweli kweli mpaka nimelegea kabisa.Wastaafu wengi bado wanasomesha vyuoni mfano., tena kwa rate yetu ya uzaaji wezakuta una watoto 3-4 wamefiatana chuo hiki na kile! Waliobahatika kumaliza chuo asilimia kubwa miaka 3 tegemea aendelee
Kuwa dependent. bado watoto wa wadogo zako na kaka zako waliotangulia mbele ya haki,huwezi kuwatupankwa kuwa huenda wewe wakati unatoka kijijini ulifikia kwa huyo kaka yako marehemu enzi hizo na alikukirimu kwa hali na mali, ni changamoto hasa.
sasa unategemea kwa mshahara huo uwezeje ishi mjini?
mbona 55 ni umri wa kijana tu, na kutumia lugha kama hiyo inadhihirisha kuwa yupo vizuri kiupeo bado anaupdates za yanayoendelea kwenye mazingira ya kila siku bado hajawa wakukaa sehemu moja lazima lugha yoyote anayokutana nayo mahala popote pale aivaeUmenifilisi mkuu, mm pia nikiuwianisha Lugha na Umri wa Mstaafu Mtarajiwa huyu du... Napata Ukakasi.
Nakushukuru saaana mkuu kwa tahadhari hiyo. Mimi pombe sinywi na maisha yangu baada ya kustaafu yatakuwa kijijini na familia yangu tayari iko huko mwaka wa tatu sasa wanalima na kufuga.
Mm sipingi yeye kuwa na umri uo wala sioni kuwa ni mbaya akijiuwisha na kwenda na wakat...mbona 55 ni umri wa kijana tu, na kutumia lugha kama hiyo inadhihirisha kuwa yupo vizuri kiupeo bado anaupdates za yanayoendelea kwenye mazingira ya kila siku bado hajawa wakukaa sehemu moja lazima lugha yoyote anayokutana nayo mahala popote pale aivae
Asante Mkuu ,mimi nimetoka katika familia maskini kwa hiyo kazi yangu tangu nilipoajiriwa ni kutokutegemea mshahara pekee kwani ninaogopa sana kurudi nilikokulia . Mara zote nimekuwa nikibana matumizi na kuwekeza kila seti ninayopata. Sasa hofu yangu ni namna ya kuishi baada ya ajira kwani ajira ndio ulikuwa mtaji wangu.Mm sipingi yeye kuwa na umri uo wala sioni kuwa ni mbaya akijiuwisha na kwenda na wakat...
ila nimechelewa kuwamini tu kwakuwa sio kawaida kwa wazee wetu walio wengi kuweza kunata na bit kwa umaridadi kama yeye alivyong'ara.
Nikipuuza mashaka yangu juu ya hilo bas Nitampa Heko. Na hilo tu linaweza kumfanya anyumbulike vzur ktk purukushani ya maisha ya USHINDANI mkubwa nje ya Ajira za selikari. Naamini sasa kuwa anaweza wala asiogope kujitumbukiza tuliko...
Asante mkuu nashukuru sana kwa baraka zako ulizonitabiria.hongera sana kwa umri uliofikisha kazini, kama umeamua kustaafu saiv ni vema sababu bado una nguvu lakini ukishapata pesa zako hakikisha unazipeleka kule ulkokusudia zizalishe zaidi na si zikufanue ubadili mfumo wa maisha ya kuongeza,matumizi, fanya utafiti biashara gani ufanye itakayoingiza pesa nyingi zaidi ndani ya,miaka kadhaa utakua vizuri,,kila la kheri ktka maamuzi yako
Hofu ya nn sasa kuwa muwaz pili hii lugha uliyotumia ni kweli una miaka 55 anyway ngoja waje wazee wenzako tuwasikie wanasemajeWakuu mimi nimefikisha 55 ya ajira yangu serikalini. Naona kama nimechoka na kazi ya ajira na natamani kustaafu mapema shida ni kutojua changamoto za wastaafu.
Mfuko wangu wa akiba ya wastaafu wameniambia nitalipwa milion themanini na tano kwa mkupuo na kila mwezi nitakuwa nalipwa laki nne.
Kwa ujumla tayari nimejenga nyumba ya kuishi niliponunua shamba kijijini kama ekari 30 ,na pia ninazo nyumba kadhaa za nimepangisha mjini.
Hofu yangu inatokana na wenzangu waliostaafu hapa kazini na baadhi yao walikuwa na uwezo mkubwa kazini lakini wanaishi kwa dhiki kubwa na mara kwa mara wanakuja hapa kazini kupiga mzinga utafikiri bado wako kazini.
Kwa mstaafu yeyote mwenye uzofu wa maisha ya ustaafu anipe ushauri kabla sijaamua kuachia ngazi ya ajira
KabisaKabisa!Mm sipingi yeye kuwa na umri uo wala sioni kuwa ni mbaya akijiuwisha na kwenda na wakat...
ila nimechelewa kuwamini tu kwakuwa sio kawaida kwa wazee wetu walio wengi kuweza kunata na bit kwa umaridadi kama yeye alivyong'ara.
Nikipuuza mashaka yangu juu ya hilo bas Nitampa Heko. Na hilo tu linaweza kumfanya anyumbulike vzur ktk purukushani ya maisha ya USHINDANI mkubwa nje ya Ajira za selikari. Naamini sasa kuwa anaweza wala asiogope kujitumbukiza tuliko...
Asante mkuu ushauri wako nimeupenda zaidi.Nyumba ninazo nne tayari na tatu nimepangisha moja iliyobaki pia nitaipangisha nikistaafu kwani kwa sasa bado naitumia. Ubarikiwe sana mkuu kwa ushauri wako mzuri.Asee ushauri wangu, nunua nyumba au jenga nyumba zaidi. Na guest pia sio mbaya Kama sio mtu wa dini kiviiile, uwe na uhakika wa kukusanya hata 3m kwa mwezi toka nyumba zako. Baaasi tafuta na anzisha bustani yako ya mboga mboga, hii ni kukupa zoezi kila asubuhi na jioni. Asee maisha mbona itakuwa tamu sana. Huu ni ushauri nilimpa mzee wangu, na sasa napata sana posho toka kwake kwa ushauri wangu, akili kubwaz, YANI hata usihangaike na mabiashara ya ajabu ajabu. Utafilisika Kama mjomba wangu hapa, alipiga Kama million 300 Hivi akanunua Hizi daladala eicher za kihindi sasa Hivi ulimi nje tuu. Vinyumba 2 alijenga ndo vinamuokolea hakosi kilo 6 kwa mwezi za kunywa bia, uzuri watoto alipeleka shule, so hakosi vilaki kadhaa kila end month.
So take care mkubwa. Nyumba ndio biashara smart kwa wastaaff