Naomba ushauri kwa waliosoma BAGE UDOM

Naomba ushauri kwa waliosoma BAGE UDOM

Dr.philosophy

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
122
Reaction score
27
Kama tittle inavyojieleza mimi ni muhitmu wa form six nimepata two ya 10, natamani sana kusoma kozi hiyo hapo juu, nahitaji ushauri kwa waliosoma kozi hiyo. Natanguliza shukrani.
 
Last edited by a moderator:
Aisee wengi wapo mtaani na hawajui hatima yao

Nenda ukakutane na abeli casian peter baradyana nyangusi rwebangila
 
kama tittle inavyojieleza mm ni mhitmu wa form six nmepata two ya 10,nataman zsana kusoma koz hyo apo juu,nahitaji ushaur kwa waliosoma koz hyo .natanguliza shukrani
We nenda tu kasome janja haina matatizo ila wajamaa tu wa masomo ya hiyo kozi ndio wasumbufu
 
Back
Top Bottom