Naomba ushauri kwa ufaulu huu

Jeorpa

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
316
155
Ndugu zangu, naomba mtu au watu wenye uelewa mkubwa wa maisha ya masomo wanisaidie kunipatia ushauri wa kielimu

Mtihan wa kidato cha nne nna dv 3 ya 22, masomo mawili nna F, Phy na Maths
Civ nna D na Mengine yaliyobaki nna C
Advance sio chaguo langu
Msaada Tafadhali ndugu zangu
 
Mkuu pole sana ila hakuna kitu kinasumbua kama kuwa na fa maths pole sana kiongozi bora ungepata D
 
Ahsante
Ila ukisoma hyo faida zake n zipi
1. Hakuna hata kimoja chenye faida hapa Bongo kwa sasa!!!!
2. Madaktari wamekataliwa ndani na nje, wauguzi wanalia mitaani, waalimu waliohitimu hawana tofauti na vifaranga wabaosubiri kunyonya (walimu was seko wanaburuzwa msingi), wanasheria hawajawahi kusikia ajira, media zinapunguza wafanyakazi na nyingine kufungwa, .....
3.Watumishi wanatamani kuandika 24 hrs termination letter ila wanaogopa kwa kuwa hawaoni future.
4. Bora ukalime hata bustani kuliko kusaka shile.
 
Ndugu zangu, naomba mtu au watu wenye uelewa mkubwa wa maisha ya masomo wanisaidie kunipatia ushauri wa kielimu

Mtihan wa kidato cha nne nna dv 3 ya 22, masomo mawili nna F, Phy na Maths
Civ nna D na Mengine yaliyobaki nna C
Advance sio chaguo langu
Msaada Tafadhali ndugu zangu
Nenda veta ukapige fani yoyote utatoka,uko kwenye ualimu,sheria waachie watoto wa makada
 
Ndugu zangu, naomba mtu au watu wenye uelewa mkubwa wa maisha ya masomo wanisaidie kunipatia ushauri wa kielimu

Mtihan wa kidato cha nne nna dv 3 ya 22, masomo mawili nna F, Phy na Maths
Civ nna D na Mengine yaliyobaki nna C
Advance sio chaguo langu
Msaada Tafadhali ndugu zangu
Kutokana na mabadiliko ya kila siku ya mfumo wa elimu nchini ni bora ukasome advance usijejuta baadae
 
NENDA ADVANCE umeyaona hayo maandishi ya herufi kubwa?yazingatie sana hayo
 
Back
Top Bottom