Naomba ushauri kwa hili

annan1988

New Member
May 5, 2011
2
0
Naomba mnishauri, nashindwa kuelewa kila kazi ninazoziona zinatangazwa sehemu mbalimbali zinahitaji uwe na uzoefu wa kaz usiopungua muda fulan(miaka mitatu na kuendelea).Je sisi tunaotoka vyuoni uzoefu tunapata wap au ndo tusifanye kazi?
 
Ndugu,tuombe ivo ivo. Angalia wale walioitwa usaili nssf kwa kaz za uzoef na wameitwa wakati wao ni fresh!
 
usiogope. wanaokuita interview wanaweza kugundua APTITUDE yako kuwa ni ya juu kuliko ambae ana uzoefu wa miaka kadhaa. pia apple ina mbegu nyingi lakini inayoota na kukupa mmea ni mbegu moja kati ya mbegu 500 zilizomo kwenye tunda. kitu kikubwa ni KUJIAMINI na kuijua kwa undani kazi unayoiomba ukaweza kuielezea kwa ufasaha. usiende KUJARIBU.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom