Naomba ushauri kwa hili wakuu

Ila mikopo inawaumiza watumishi balaa, makato yakichanganya na pesa ya mkopo imeisha, mshahara unabaki mdogo kinachofuata ni maumivu makali mno.
 
duu na aliyeweka 1/3 ajengewe mnara maana watu wanalizwa sana!
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…