Wataalamu wakikujibu ni taGHivi ni wakati gani mzuri wa kuweka fence,ukishapaua au wakati unataka kupiga plasta?
Andaa za msingi 1280, tofali za ukuta 1600
Msingi yanatakiwa mawe siyo tofali bwana!Andaa za msingi 1280, tofali za ukuta 1600
Mkuu mimi mwenye mzingo wa mita 114 nitahitaji tofali ngapi?Iliupate idadi ya tofali lazima ujue mzingo(circumference) ukitumia eneo kama hiyo 400sqm inaweza kua ni 20X20=400sqm mzingo itakua ni (20+20)x2=80m au 25X16=400sqm na mzingo (25+16)x2=82m au 40x10=400sqm na mzingo ni (40+10)x2=100m nk. So vipimo vyote hapo juu vitakupa majibu tofauti Weka vipimo vyake halisi vya urefu na upana nikuchakatia fasta.
Kama ni ukuta tu(solid wall) bila louvres au magril tegemea kutumia tofali 3,500 hii ni kwa ukuta wa mita 3 juu kutoka usawa wa ardhi. Yani msingi/kiuno 0.5m na ukuta wenyewe ni 2.5mMkuu mimi mwenye mzingo wa mita 114 nitahitaji tofali ngapi?
Urefu kwa urefu wa mita 30 na upana wa mita 27
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Tofali za nchi 5 zinafaa?Kama ni ukuta tu(solid wall) bila louvres au magril tegemea kutumia tofali 3,500 hii ni kwa ukuta wa mita 3 juu kutoka usawa wa ardhi. Yani msingi/kiuno 0.5m na ukuta wenyewe ni 2.5m
Chini hapo ni moja ya kazi zangu mt meru hospital ni ukuta wenye urefu wa mita 360 hivi. Tembelea Instagram yangu ujenzi08 au Facebook ujenzi. Karibuni
Vipi hapa kwenye sq 1054 ambapo ni 40 x 26...urefu wa ukuta uwe standardIli upate idadi ya tofali lazima ujue mzingo(circumference) ukitumia eneo kama hiyo 400sqm inaweza kua ni 20X20=400sqm mzingo itakua ni (20+20)x2=80m au 25X16=400sqm na mzingo (25+16)x2=82m au 40x10=400sqm na mzingo ni (40+10)x2=100m nk. So vipimo vyote hapo juu vitakupa majibu tofauti Weka vipimo vyake halisi vya urefu na upana nikuchakatia fasta.
Fundi unapatikana wapiUkihitaji pia fensi ya umeme.. nichek 0767780909 au WhatsApp 0718944022
Kwa sasa nipo Mbeya.. Nafanya kazi mikoa yote TanzaniaFundi unapatikana wapi
Msingi umetumia tofali au mawe?Kiwanja changu ni squaremeter 367,
Mita 21×17.5,
Nimetumia tofali 2,300 kukamilisha uzio wa kozi 8.