Naomba ushauri kuhusu taa za indicator

Teremaro

Member
Mar 18, 2022
16
14
Habari ndugu wana Jamii forum,

Leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatizo.

Naomben mawazo yenu kabla sijaenda kwa fundi
 
Habari ndugu wana Jamii forum, leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatzo, naomben mawazo yenu kabla sijaenda kwa fundi
Wapeleke mafundi.
Wengi wa wabongo tunaendeshaga tu.
 
Kuna taa mojawapo ya indicator haifanyi kazi katika huo upande. Inaweza kuwa ya ubavuni au nyuma ambapo bulb inakuwa imeungua. Hicho ndio chanzo cha tatizo hilo ukizunguka gari utagundua ipi ina changamoto kisha badilisha weka bulb mpya problem solved.
 
Habari ndugu wana Jamii forum,

Leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatizo.

Naomben mawazo yenu kabla sijaenda kwa fundi
Badili bulb ndugu. Hiyo ni ishara moja bulb iadha ya mbele au nyuma ya huo upande unaoblink faster imeungua.
 
Habari ndugu wana Jamii forum,

Leo wakati natoka kwenye mishe mishe zangu nikiwa nadrive, nimegundua taa ya indicator ya kulia inablink harakaharaka kushinda ya kushoto je ni tatizo.

Naomben mawazo yenu kabla sijaenda kwa fundi
Angalia, miongoni mwa bulb za gari yako itakuwa imeungua. Kagua, then replace na mpya.
 
Back
Top Bottom